Mbappé, Bellingham Wajumuishwa Mchezo Dhidi ya City

Mshambuliaji wa Real Madrid fc Kylian Mbappé pamoja na kiungo mshambuliaji Jude Bellingham wamerejea kikosini baada ya kukaa nje kwa muda wakutibu majeraha yaliyokuwa yakiwasumbua. Kurejea kwa nyota hao kunatajwa kuwa nguvu kubwa kwa kikosi hicho kuelekea michezo muhimu ya mashindano ya Ulaya.

Kylian Mbappé, Jude Bellingham Wajumuishwa Kikosi kwa Mchezo wa Marudiano dhidi ya CityMbali na Mbappé na Bellingham, beki wa kushoto wa timu hiyo Álvaro Carreras pia amerejea kwenye kikosi baada ya kupona majeraha ya hapa na pale yaliyomuweka nje kwa muda. Kocha wa Real Madrid fc ameamua kuwajumuisha wachezaji hao katika kikosi kinachoendelea na maandalizi ya mchezo ujao muhimu wa kimataifa.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa  

Kylian Mbappé, Jude Bellingham Wajumuishwa Kikosi kwa Mchezo wa Marudiano dhidi ya CityTimu hiyo sasa inajiandaa kusafiri kuelekea Manchester nchini United Kingdom kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa hatua ya mtoano dhidi ya Manchester City. Katika mchezo wa kwanza wa hatua hiyo, Real Madrid fc ilipata ushindi wa mabao 3-0, matokeo yanayowapa faida kubwa kabla ya mchezo wa marudiano utakaopigwa katika dimba la Etihad.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.