Simba sc Watajwa Kumsajili Kipa wa Timu ya Taifa ya Nigeria

Klabu ya Simba SC inatajwa kuwa katika mazungumzo ya kumsajili kipa wa timu ya taifa ya Nigeria, Stanley Nwabali, katika jitihada za kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao.

Simba sc Watajwa Kumsajili Kipa wa Timu ya Taifa ya Nigeria Nwabali alionyesha kiwango cha juu katika michuano ya AFCON 2025 iliyofanyika Morocco, hali iliyovutia klabu kadhaa barani Afrika, huku kwa sasa akikipiga katika klabu ya Chippa United.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Taarifa zinaeleza kuwa Simba wanachunguza uwezekano wa kuongeza nguvu eneo la golini licha ya kuwa tayari na makipa wawili wa kigeni, Djibrilla Kassali na Moussa Camara.

Simba sc Watajwa Kumsajili Kipa wa Timu ya Taifa ya Nigeria Iwapo usajili huo utakamilika, unatarajiwa kuongeza ushindani mkubwa ndani ya kikosi hicho, jambo ambalo linaweza kuathiri nafasi za baadhi ya makipa waliopo kwa sasa.

Simba sc Watajwa Kumsajili Kipa wa Timu ya Taifa ya Nigeria Hata hivyo, hadi sasa hakuna uthibitisho rasmi uliotolewa na Simba SC kuhusiana na taarifa hizo za mazungumzo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.