Piere Emerick Aubameyang Atabaki Arsenal au Atatimkia PSG?

Klabu ya Arsenal imempa Piere-Emerick Aubameyang ofa ya Kusaini mkataba mpya katika kujaribu kuzuia ofa kutoka kwa Paris Saint-Germain. Aubameyang ndiye Nahodha na mfungaji bora wa The Gunners, lakini hatma yake imejaa na sintofahamu.

Aubameyang

Mkataba wa Nahodha huyo wa Gabon mwenye umri wa miaka 30 unamalizika mwaka ujao na kocha wa The Gunners, Mikel Arteta ana hamu ya kumbakiza Emirates nyota huyo. Msimu huu wa Joto wameripitiwa PSG kuwa ipo tayari kulipa pauni milioni 45 kumnasa nyota huyo mwenye asili ya Gabonili awe mbadala katika harakati zao za kuziba nafasi ya Edinson Cavani ambaye ni dhahiri ataachana na Mabingwa hao wa Ufaransa na kwenda kuhudumu katika vilabu vingine.

Ripoti ya ya L’Equipe inasema kuwa Arsenal wamewasilisha ofa kwa Aubameyang ili atie saini na kubakiza hatma yake kwenye klabu mwa misimu zaidi. Mshambuliaji huyo amefunga mabao 61 katika michezo 97 tu tangu ajiunge na Arsenal kwa pauni milioni 56 kutoka Borussia Dortmund mnamo Januari 2018

49 Komentara

    Kubali kusaini na uendelee kubaki arsenal usiondoke

    Jibu

    Aubameyang ndiye Nahodha na mfungaji bora wa Arsenal abaki tu ndo panamfaa

    Jibu

    Kama atapewa pesa ndefu abaki hapo hapo

    Jibu

    Asain tu mbona sehemu salama tu hyo

    Jibu

    Kubali kusain ili uendelee kubaki asernal

    Jibu

    Huo ni uamuzi wake ila ni vyema kama angeendelea kubaki Arsenal na kutimkia huko PSG

    Jibu

    Arsenal ilitaraji kupata huduma yake kwa muda mrefu na kwa mafanikio lkn naona Auba ana mipango tofauti. Ni vizuri abaki kusaidia timu#meridianbettz

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    ayo ni maamuzi yake aangalie wapi kuna manufaa kwake Kama ni apo arsenal abaki

    Jibu

    Mmmmh! Bora akajaribu PSG

    Jibu

    Abaki tu arsenal kwenda PSG ni changamoto kwake

    Jibu

    Aende2 umri umeshaenda#meridianbettz

    Jibu

    Daaah akibaki arsenal nitamuona bogaz aondoke tu

    Jibu

    Piere Emerick akubali hiyo ofa asaini
    Mkataba abaki arsenal

    Jibu

    Kwa ushauri wangu abaki tu

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Abaki jamani #Meridianbettz

    Jibu

    Klabu yake inahitaji zaidi mchango wake ni vyema akaendelea tu ili kuisaidia

    Jibu

    Arsenal yenyewe ishafeli afadhali aondoke

    Jibu

    Kokote aende uwamuzi ni wakwake.

    Jibu

    Acha kuangaika bakia hapo upambane.

    Jibu

    kama anataka mafanikio abadilishe mazingira maana EPL kwake haijakaa poa msimu huu

    Jibu

    Me naona habaki tu

    Jibu

    Pesa itaongea tu hapo umri huo ukihitajika na team ya kiboss kama hiyo unaenda tu kuutengeneza uboss wako

    Jibu

    Bora abakie hapo kwenye club yake ya arsenal

    Jibu

    Piere emerick abaki tuu mbona yuko.vizuri

    Jibu

    Kule Ndio kunamfaa kwanza Ndio mitaa aliyokulia kwahiyo hakumpi shida sanaa

    Jibu

    Maamuzi yako kwake mwenyewe kubaki au kutembea

    Jibu

    Afanye maamuzi yaliyokuwa sahihi Kama abakie Arsenal au sense PSG

    Jibu

    Kokote kambi yeye anaangali pesa Kama pesa hinaluusu anatua kokote kule

    Jibu

    Abaki Arsenal bdo anahitajika

    Jibu

    Aubameyang ndiye Nahodha na mfungaji bora wa The Gunners, lakini hatma yake imejaa na sintofahamu.kubwa ila me ushauli wangu ni bora akatimkia psg kuliko kubaki

    Jibu

    Aende tu uwenda kukawa na masirahi huko

    Jibu

    Abaki arsenal..

    Jibu

    Aende tu PSG arsenal wamefulia Sasa hivi hawana jipya

    Jibu

    Abak tu arsenal kutokana na kipindi hiki kigumu

    Jibu

    Haende akatafute changamoto mpya za maisha ya soka

    Jibu

    Abaki tu arsenal mpaka dau liongezeke

    Jibu

    Atimkie tu PSG akavae medali za ubingwa

    Jibu

    Abaki tu Arsenal jamni

    Jibu

    Bora atoke akapambane tu kweny club zingine akuze jina

    Jibu

    Abaki arsenal

    Jibu

    Itakuwa ngumu kwa Aubameyang kusalia Arsenal

    Jibu

    Bola asepe tu arsenal akuna inshu..!PSG ndio mpango mzima

    Jibu

    psg kutakuwa kugumu kule maana kuna strike nyingi tena zinafanya vizur tu abaki au atafute timu nyingine

    Jibu

    Mchezaji mzuri! Aende tu akatafute changamoto nyingine.kwa PSG watakuwa wamefanya usajili mzuri

    Jibu

    Bdo unaitajik Arsenal

    Jibu

    Ni Bora abaki arsenal Hadi mkwanja uwogezeke

    Jibu

    Abaki tuu asiondoke

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.