Chelsea itarajiribu kupeleka ofa nyingine katika klabu ya Bundesliga ili kumsajili kiungo wa Bayern Leverkusen, Kai Havertz.
Chelsea kwa sasa wanahusishwa na uhamisho wa mshambuliaji wa RB Leipzig, Timo Werner kwa ada £53m, Chelsea wanataka wachezaji hao kama mbadala wa Willian na Pedro.

Inaeleweka kuwa Havertz ndio mchezaji wanayemtaka mjapo watapata upinzani kutoka vilabu vya Ulaya.
Havertz amefunga mazoli matano katika mechi nne tangi Ligi Bundesliga irejee amekuwa katika rada za Real Madrid na Bayern Munich.

Chelsea watatakiwa kuzichanga ili kushinda mbio za kumwania Havertz kwa thamani yake inatajwa kuwa £75m na mkataba wake unamalizika 2022. Chelsea tayari wametumia £38m kwaajili ya kumsajili Hakim Ziyech kutoka Ajax.

Havertz amekuwa mchezaji wa kikosi cha kwanza tangu akiwa na miaka 17, amekuwa na kiwango bora msimu huu japo aliachwa kwenye kikosi kilichopoteza dhidi ya Bayern wikiendi iliyopita.


JULIANA
Aya waongeze tu hiyo miofa
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa
Theckla
Waongeze dau tu
Ester mmakasa
Asante kwa taarifa meridianbet.
Antony Luseno
Lampard akifanikisha kumsajili kiungo huyu Chelsea itakuwa balaa
Tahiya
Chelsea inahitaji wachezaji aina ya harvet ili kuboresha kikosa
Mwanaidi
Wakimpata huyo mchezaji mambo yatakuwa mazuri kwa upande wao chelsea
Salma
Waongeze ofa
felister
Lampard ongeza dau tumchukue havert
Adelta
Asante kwa makala nzuri #meridianbettz
Rehema Dickson
Pesa tu iwe na viwango yani dau liwe la moto kila kitu kinakua mubashara
Devotha
Asante meridianbettz kwa taarifa
Neema hassan
Asante kwa habari#meridianbettz
Hope mwaikuka
Taarifa nzur sana
Evaluziga
Lampard aongeza dau tumuache
Samiah
Lampard aongeze dua
Neema juma
Wapambane watampata tu
Ernest
Bonge la deal kwa upande wake
Ester jackson
Pesa ndio kila kitu Chelsea nyoosheni mkono kwa huyo chalii muwake hapo
David Pere
Kweli wameamua kurudi Katika ubora wao
Amani
Kweli safari hii makocha awataki utani wanasajili kwa Kasi waongeze pesa wapate sain yake#meridianbettz
winfrida
daaaaa!!!chelsea kweli mmeamua kusajili watu
isha
Dau liongezwe
Mariam mtandama
Habari mjema
Furahav
Mmh sipati picha chelsea itakuaje.
lombo
ndo mda muafaka wa kilabu na wachezaj kupiga pesa
Magdalena
Chelsea wakimsajili uyu kiungo watakuwa wamefanya vyema sana
Mwanahamisi
Ndio muda muafaka wa kupiga pesa
Povel
Thnks meridian kwa update za michezo na burudani
Lydia Emmanuel Magoti
Pesa hinaongea lazima wamtake mtu yoyote yule
Gabriel
Kama Chelsea watabahatika kumsajil havertz wanatakuwa wameziba pengo kubwa sana ukiangalia havertz n kiungo mzur na mwenye maamuz ya haraka akiwa uwanjan
Caroline
Wakimpata havertz ataleta mafanikio Chelsea
Kenani
Hatar sana
Mwajuma
Hapo darajaji wampate fundi kweli na watatisha sanaa msimu ujao
Dorophina
Hilo ni bonge la dili kwake
mathayo sonje
darajani kunanoga sasa, sio kwa usajili huu, tumuombe Mungu usajili ukamilike mapema
Theonestina
Asanteni meridianbet kwa taarifa
Hidaya
Chelsea mwaga mpunga tukibebe chuma hicho
Genia Sikaluzwe
Mmmh hatari
shafii
Big deal endapo watamnasa
mwakalosi
Chelsea naona wameamua kubaki bundesliga
Elika
Ongezeni pesa tuu na si vinhinevyo
silvatira
moja kati usjili mzuri kwa clabu ya chelses
Hamidu
Msimu ujao Chelsea itasumbua Sana
Agness
Nimakala nzuri
Warda
Wameamua kwa kweli #Meridianbettz
Samira
Chelsea wanamuitaji sana kiungo huyu ili kikosi chao kizidi kuwa imara
Zeiyana
Big deal kwa Chelsea endapo wakimpata dogo anajua Sana
Sadick
Sidhani kama Chelsea watamusajiri Kai Havertz , kuna wachezaji wengi wanauwezo pale. Ni kiasi cha kupata nafasi tu#meridianbettz
Asia Abdy
Safii
nasra
Nice