Pokea bonasi asilimia 5 kwa kila muamala unaoufanya kwenye akaunti yako ya Meridianbet Tanzania. Ndiyo, ni asilimia 5 ya bonasi kwa kila muamala wako wa kuweka pesa mtandaoni.
Hii yote ni kwa sababu pesa zako zina thamani kubwa sana ambapo sasa unapata asilimia 5 ya bonasi kwa kila muamala unaoweka, hamna masharti hapo!
Ikoje hii?
Wateja wote waliojisajili kwenye tovuti yetu ya www.meridianbet.co.tz ndiyo ambao watakuwa na haki ya kushiriki katika promosheni hii ambapo kwa kila muamala unaoweka unapokea bonasi ya asilimia 5.
Kiasi cha chini unachotakiwa kuweka ili uweze kupata faida hiyo ni kuanzia shilingi 5 000 tu za Kitanzania, shilingi 5 000 tu! Miamala ambayo itahusika katika promosheni hii na kukuwezesha wewe kupata asilimia hizo za bonasi ni ile ambayo iliwekwa kwa namba ya Tigo, Tigo Pesa, Airtel Money ama ya Vodacom, M-Pesa.
Kiwango cha juu cha bonasi ambayo unaipata ni shilingi 25,000 za Kitanzania. Ofa hii ni halali kwa mteja yeyote ambaye ameweka pesa zake kwa njia za malipo zilizopo katika tovuti yetu ya www.meridianbet.co.tz
Ili bonasi yako iwekwe kwenye akaunti yako utatakiwa kutumia pesa yote uliyoweka katika kubetia michezo iliyopo katika mtandao wetu ama kasino zetu zilizopo.
Fahamu zaidi…
Inapofika siku ya pili baada ya wewe kuweka pesa yako utapokea bonasi yako mida ya mchana wa siku husika. Unaweza kuomba bonasi zaidi ya mara moja. Promosheni hii inaendelea mpaka sasa kuanzia tarehe 14 mwezi wa tatu mwaka huu, 2020.
Meridianbet ina haki ya kusitisha upatikanaji wa ofa yoyote ama kuiondoa pale inapotakiwa kufanya hivyo na kuwataarifu wateja wake kwa njia ya ujumbe wa barua pepe. Itakuwa ni pale tu ambapo zawadi zilizotolewa hazijaondolewa ama kufutwa isipokuwa wakati ambao mteja amekiuka vigezo na masharti ya Meridianbet.
Meridianbet ina haki ya kurekebisha haya na kuwajulisha wateja wake kwa ujumbe wa barua pepe juu ya mabadiliko husika. Pia, ina haki ya kudai ama kukataa kutoa ofa endapo mteja amekiuka vigezo na mashari vya Meridianbet. Wakati wa madai hayo, mteja atajulishwa juu ya mabadiliko husika.
Vigezo na masharti ya jumla vitatumika. Ukiwa nasi siku zote wewe ni mshindi kwa hakika kabisa. Shiriki mchezoni sasa!


Leonard
Mambo mazuri haya
Tahiya
Imekaaje hii ni safi sana hakika meridian ni kiboko ni chap naenda weka pesa kwa account yngu nipate bonus miye
Theonestina
Naanzaje kuikosa hii ofa.ngoja nikaweke pesa miye nisije nikakosa bonus bure
Samiah
Asanteee meridianbet kumbe mwatoa mpk bonus
Elika
Hakika mwaka huu meridianbet mnanipa utajiri mnono
Emmy cleopa
Mambo yako vizur sana
lombo
vizur meridianbet hamjawai kuboa
warda
Mambo ya Bunos Mnanikosha sana#Meridianbettz
David Pere
Yani hapo Ndio maana tunawakimbilia nyie kwenye kutafuta pesa
Devotha
Pesa ipo meridianbet pekee
Mwanahamisi
Mambo mazuri na meridianbet
Latifa juma mohamed
Ahsanten meridian kwa hayo mnazudi kutuburusha
Njiku
Imekaa poa hii
Frank Patrick
Kitongawise cha kizazi kabisa
julieth boniface
daah mtupe nini tena
Antony Luseno
Kweli hii imekaa vizuri sana kwa upande wa sisis watejañ
Hidaya
Hii sio ya kukosa mambo mazuri yapo meridianbett
Isaya massawe
Hii bankubwa sana hii
Ernest
Jaribuni kufanya maboresho katika hii ofa maana watu tumekuwa tukiweka pesa lakini bonasi ya 5% haziwekwi chunguzeni hili tafadhari
felister
ukiwa na meridian bet siku zote wewe ni mshindi
Neema juma
Sasa inanibidiii nichangamkiee ili nisikose bonus
Magdalena
Inanivutia Sana hii
Latifa juma mohamed
Vizuri Sana hmjawahi kutuacha upweke
Sadick
Maelezo mazuri na watu tunaangalia kupata tu! hatuzingatii vigezo na masharti yaliyowekwa ili kupata Bonus hii#meridianbettz
Gabriel
Nice opportunity 👍# meridianbet
Theckla
Habari njema
Furahav
Kweli meridian mnatujali wateja wenu.
Neema hassan
Habari njema kwa wateja..
Povel
Habar njema kwa wateja wetu
Lydia Emmanuel Magoti
Kweli hii himekaa poa sana
Kenani
Hahahaha noma sana
Caroline
Raha sana
Ester jackson
Bonus limekaa powa sana hasa pale mikeka imekufa mana inaokoa kiasi kidogo cha pesa iliyo potea
Asia Abdy
Huduma nzurii
Janeflora malisa
Habar njm
farida ahmadi
Hakika mpo vzr Sana meridianbettz