Liverpool Kuagana Rasmi na Mtendaji Peter Moore.


Afisa Mkuu Mtendaji wa Liverpool, Peter Moore anatazamiwa kuondoka rasmi uwanjani Anfield mwishoni mwa Agosti 2020 baada ya kuhudumu katika wadhifa huo kwa kipindi cha miaka mitatu.

Nafasi ya Moore itatwaliwa sasa na Billy Hogan ambaye kwa sasa ni mkurugenzi msimamizi na afisa mkuu wa masuala ya kibiashara kambini mwa Liverpool.

 

Liverpool Kuagana Rasmi na Mtendaji Peter Moore.

Kwa miaka mitatu iliyopita, More ameshuhudia Liverpool wakirejea katika ubora wao wa zamani kiasi cha kujinyanyulia ubingwa wa kwanza wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya miaka 30 ya kusubiri, ufalme wa Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) na Kombe la Dunia la FIFA.

“Haya ni mafanikio makubwa ambao tumeongozwa na kocha Jurgen Klopp, wachezaji na maafisa wetu wote katika benchi la kiufundi kupata.

Kikosi cha Liverpool kimerejesha hadhi yake ya zamani na kwa sasa ni tishio kubwa kwa mpizani yeyote barani Ulaya na duniani,” akasema Moore.

“Hizi ni kumbukumbu zitakazodumu kwangu milele. Kwa kweli tulistahiki kutamba jinsi tulivyofanya baada ya kufanya yote tuliyoyafanya!” akaongeza kinara huyo.

 

Liverpool Kuagana Rasmi na Mtendaji Peter Moore.

Hadi kutua kwake kambini Anfield, Moore ambaye atarejea kwao Amerika, aliwahi kuwa mfanyakazi wa masuala ya teknolojia katika kampuni za Sega, Microsoft, EA Sports na Reebok ambayo hutengeneza vifaa vya michezo.

“Nilikuja Liverpool mnamo 2017 baada ya kuhudumu Amerika kwa zaidi ya miaka 30. Nimekuwa na kipindi spesho sana uwanjani Anfield,” akasema Moore.


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza Hapa Sasa

37 Komentara

    Kazi nzuri aliyofanya Liverpool

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Moore ameacha alama kubwa sana ndani ya Liverpool

    Jibu

    Moore bado hana humuimu kubwa sana Liverpool

    Jibu

    Moore amefanya kazi nzuri Liverpool watamkumbuka mchango wake

    Jibu

    Bonge la makala

    Jibu

    Sifa za Mtendaji Mkuu wa Timu ni kusikiliza ushauri wa bench la ufundi na kuifanyia kazi. Pale bench la ufundi linapotaka mchezaji fulani kazi ya mtendaji mkuu ni kuwezesha hilo kufanyika. Nadhani Peter Moore ameshirikiana nae na wenzie vizuri ndio maana timu imepata mafanikio hayo#meridianbettz

    Jibu

    Pole na pongez kwako

    Jibu

    Aende akaangalie sehemu nyingine

    Jibu

    Kazi nzuri waliyo fanya Liverpool

    Jibu

    Nenda tu moore.

    Jibu

    Hongera kwa liverpool kwa kazi walioifanya

    Jibu

    Liverpool awanabudi kukushuru kwa hatua waliyofikia bila ww isingefika ilipo

    Jibu

    Moore kaifanyia mazuri liverpool

    Jibu

    Kila la kheri unandako

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Kila la kheri#meridianbettz

    Jibu

    kila la kheri

    Jibu

    Moore ameonyesha mchango mkubwa sana Liverpool anakumbukwa sana 👍

    Jibu

    Kiukweli kafanya kazi mzuri Liverpool

    Jibu

    Atakumbukw kwa mafanikio

    Jibu

    Moore ameacha historia pale Liverpool

    Jibu

    Moore kaifanyia hakki Liverpool

    Jibu

    Moore ameonyesha mchango mkubwa kwa Liverpool

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Matamani aendelee kubaki

    Jibu

    Hizi ni kumbukumbu zitakazodumu kwangu milele. Kwa kweli tulistahiki kutamba jinsi tulivyofanya baada ya kufanya yote tuliyoyafanya!” akaongeza kinara huyo.

    Jibu

    Natamani uwepo wake

    Jibu

    Peter Moore amefanya vizuri ushirikiano na wezake katika timu hiyo na kuleta mafanikio ya kupata ubigwa nafikiri ni juhudi walizotumia kwa pamoja

    Jibu

    Makala nzuri Sana hiii

    Jibu

    Moore ali fanya kazi nzuri alipokua liverpool watamkumbuka

    Jibu

    Hongera Sana timu nzima ya Liverpool na uongozi wake pia hongera Sana Moore

    Jibu

    Akumbukwe Moore!!!!!

    Jibu

    Ameacha alama kubwa Sana Liverpool

    Jibu

    Makala bomba

    Jibu

    Wamuenz kwa aloyafanya

    Jibu

    Tutamleta Simba Tu.

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.