Philippe Coutinho amefunguka kuwa bado hajajua hatma yake mpaka sasa, lakini hajakanusha kuendelea kubaki katika klabu ya Barcelona.
Kiungo huyo mwenye thamani ya £145 million aliondoka Camp Nou katika hali ya sintofahamu na kupelekwa kwa mkopo katika klabu ya Bayern Munich.

Coutinho alitokea benchi katika mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa na kuisaidia timu yake kushinda goli 1-0 dhidi ya Paris Saint-Germain, amekuwa akihusishwa kujiunga na klabu ya Arsenal.
Lakini mchezaji huyo mwenye miaka 28, bado hajawa na uhakika atakuwa akitumikia klabu gani msimu ujao.
Alisema, “Ni kweli, Itanibidi nirudi Barcelona na baada ya hapo tutajua nini kinaendelea.

“Sijafikiria sana kuhusu hilo, nilikuwa nafikiria kuhusu fainali zaidi.
“Ninachoweza kusema nataka kufanya kazi kwa bidii katika msimu ujao, lakini tutaona kitakachoendelea.”
Beti Mbio za Mbwa Mubashara.
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Povel
Gud update
Gabriel
Hatma ya Philippe Coutinho ni kumalizia soka EPL asijal maana arsenal wazee wa mizinga wanamkalibsha kwa hamu ajihis yuko nyumban
Issa
Courtinho naona koman anamuamin inavyoonekana atamrudisha barcelona
Amiri Kayera
Bado anauwez wakuchez popot
Sabrina
Sio mbaya Kama ataenda kuitumikia Arsenal itapendeza zaidi
marry
mamuz ake
Samira
Ni kiungo bora na anauwezo wa kuchezea timu yoyote
Frank P
bahati ikawe nzuri kwake next season
Hope mwaikuka
Sa itakuaje
Sylvester
Hata sielewi
Shafii
Barca wangembakisha tu jamaa yuko vizuri.
Ester mmakasa
Kama hajui nani atajuwa kwa niaba yake?
Furahav
Nenda Arsenal.
Latifa juma mohamed
New updates.
farida ahmadi
Inabidi achague timu iliyo sahihi kwake
David Pere
Hatma ya Philippe Coutinho ni kumalizia soka EPL asijal maana arsenal wazee wa mizinga wanamkalibsha kwa hamu ajihis yuko nyumban
Rehema
Itakuaje
rama
Maoni:bayern ndio timu nzuri kwako fanya ubaki tu apo ujeruman
Adelta
Philippe coutinho pole yake@meridianbettz
Zeiyana
Hinavyo honekana Bayern hawana mpango nea tena haangalie mahamuzi yake kubaki kuichezea Bayern kwa mkopo hau asepe zake
aisha
Duuh fanya jitihada upate club ili uendelee kukipiga
Sauda
Pole sana Philippe
Tatu
Philippe atulie tu asiangaike angalie timu inayomuitaji aende
Caroline
Coutinho Bora uende Barcelona
magdalena
coutinho kama anaona anataka kutoka aende tu ata united watampokea
felister
ngoja tuone nini kitachoendelea
Nasra
Mmh
Genia Sikaluzwe
Mm naona angebaki hapohapo kwani anapata nafasi yakucheza zaidi
Ester jackson
Coutinho kambi popote
Saupha mohamed
Aende club atakayo mfaa
Lydia Emmanuel Magoti
Uwamuzi niwake atafute patapo mfaa kambi kokote
Ernest
Ni wakati wake sasa Coutinho kujarbu bahati yake na kocha mpya huenda akafiti na kung’aaaa zaidi
Genia Sikaluzwe
Angebaki tu hapo
Theckla
Asante kwa taarifa
Rose kapinga
Tulia kwanza ujipange upya!!!
Fatuma kasomo
Mmh
Dorophina
Barca wangemrudisha Coutinho kikosini tu mbona yupo vizuri sana
Asia Abdy
Duh
Samiah
Mmmh
Genia Sikaluzwe
Mm naona angebaki hapohapo kwani anapata nafasi yakucheza zaidi
Khadija
sasa hatima yake itakuwaje
Neema
Mmh kazi kweli kwelii
Sadick
Coutinho akiwa Liverpool alicheza kwa mafanikio makubwa, inashangaza Barcelona iliyomusajiri kwa fedha nyingi iliamua kumupeleka kwa mkopo Bayern na wakati huo haijaonyesha nia yoyote ya kumubakisha#meridianbettz
warda
Hayo Maisha ya kukaa na wasi wasi