Mashabiki wanaweza kuruhusiwa katika mchezo wa Nyumbani wa Arsenal dhidi ya Sheffield United mnamo tarehe 3 Oktoba.
Gunners wana matumaini ya kuwa na mashabiki hao katika dimba la Emirates kwa idadi ndogo ya mashabiki kama maelekezo ya Serikali ya UK inavyotaka.

Kwa wale wanaohusika na tiketi za gold na wale wa Premium ndiyo watakuwa na nafasi kubwa ya kutoa tiketi hizo (only gold season ticket holders and Premium)
Michezo mingi imekuwa ikichezwa bila watazamaji toka lilivyoibuka janga la virusi cya corona.

Arsenal watacheza na West Ham United tarehe 20 Mwezi huu katika mchezo wao wa kwanza wakiwa Nyumbani katika msimu mpya wa ligi kuu England lakini wanacheza bila ya kuwa na watazamaji.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


magdalena
habari njema tunazozisubiria kwa hamu zote mppira bila mashabiki ulikuwa ata hauleti amsha amsha
Johnmary joel
Habari njema# meridianett
Mwajumah
Hakika ni habari njema sana hizo#Meridianbettz
aisha
Itakua vizur maan mashabik wamemis soka
Rehema Dickson
Safi sana jambo zuri
Furahav
Watu wengi wanatamani kuangalia mpira wakiwa uwanjani.
Shani
Habar njema
Adelta
Mashabiki tunasubiri kwa hamu
@meridianbettz
Fatina mfigi
Itakuwa powah sana
Dorophina
Habari njema hii natamani iwe ivyo mpira urudi kwenye ubora wake
Ernest
Itapendeza sana hii
Caroline
Safi sana
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa poa Sana kwasababu mpila bila mashabiki haunogi tuombee hiwe ivyo kuwe na mashabiki itakuwa poa sana
Nasra
Itakuwa vizur sana maana watu wamiss kuangalia soka live
felister
Bora corona siku hizi tunaishi nayo tu
Mwanahamisi
Safi sana
rama
safiii kwa mashabiki wa mpira dunian
MnonganeJR
Safi..habari njema kwa wadau soka
Mpira Bila mashabiki hakuna Radha kabisa ya mchezo
Rehema
Sio mbaya watu wengi wamekumbuka kuagalia mpira
Tatu
Habari nzuri kwa mashabiki wa mpira
Hidaya
Habari njema kwa mashabiki wa kabumbu
Khadija
Ni jambo zuri sana kwan mashabiki tumemis mpira na raha ya mpira kuangalia live na kushangilia safi sana
Povel
Habar njema kwa mashabik wa soka na wapenzi wa soka kwa milango ya getti kufunguka kwa mashabik tena
Frank P
janga hili liishe tu mashabiki wana nafasi yao uwanjani
Saupha mohamed
Inapendeza sana
Agness
Itakua vizuri inapendeza
Fatuma kasomo
Habari njema
Neema
Itapendeza pia
Amiri Kayera
Itakua vzur san maan mashabik wamemis San soka
Theonestina
Takuwa vyema sana
Rose kapinga
Hii itapendeza sana maana mpira bila mashabiki una changamoto zake,hakuna hamasa yoyote kiwanjani!!
Sabrina
Itakua poa sana
Genia Sikaluzwe
Ni Habari njema kwa mashabiki
Shafii
Hii italeta hamasa kubwa Sana kwa wachezaji.
Ester jackson
Hii habari nzuri mana inaonekana kuwa hali sasa inaelekea vizuri la janga la corona na kama ikiwa hivi sasa tunategemea uchumi kuwa vizuri kwenye vilabu
farida ahmadi
Itakuwa habari njema Sana
Samiah
Gud
Latifa juma mohamed
Itakuwa njema Sana kiungo kikuu Cha mboga no chumvi.
Issa
Mashabik wanaleta hamasa uwanjani
Sadick
mchezo unavutia zaidi kunapokuwa na mashabiki#meridianbetttz
Hope mwaikuka
Kitakua jambo jema
Shani
Mashabik wanaleta hamasa uwanjan
Gabriel
Itakua vizur maan mashabik wamemis soka
warda
Itakuwa poa sana