US Open 2020: Ni Vilio na Vicheko

Mashindano ya US Open 2020 yanaendelea kupamba moto. Wakati baadhi ya wachezaji wakifurahia kusonga mbele, wengine wanalia kwa kutolewa katika hatua za mwanzoni kabisa.

Matokeo ya michezo kunako US Open 2020.

Karolina Pliskova alijikuta akiangukia pua mikononi mwa Caroline Garcia kwa seti 6-1 7-6 7-2. Elena Rybakina, Marketa Vondrousova, Alison Riske wanaungana na katika kundi la vilio kwenye michuano hiyo.

“Ninadhani amecheza mchezo mzuri kwenye seti ya kwanza. Pengine sijacheza katika ubora wangu, lakini inatokea muda mwingine. Mimi sio roboti, hivyo siwezi kucheza vizuri kila siku.” amesema Karolina.

Naomi Osaka alikuwa na wakati mzuri na kufahiria ushindi wake dhidi ya Camila Giorgi kwa seti 6-1 6-2 ndani ya dakika 69 tu.

Naomi anaungana na Petra Kvitova, Petra Martic na Anett Kontaveitt kwenye kundi la vicheko baada ya kupata ushindi kwenye mechi zao.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

27 Komentara

    Ndio mchezo ulivyo waliotolewa ata wasilie wajipange upya mwakani na wanaoendelea wakaze buti waibuke mabingwa wa us open 2020#Meridianbettz

    Jibu

    Hongera sana Naomi Osaka kwa ushindi

    Jibu

    Hakuna kitu kinauma kwenye mashindano km kutolewa mapema wakat umejiandaa dana bt walioshindw wajipang mashindan yajay

    Jibu

    Naomi anatisha.

    Jibu

    Ndo mchezo kuna kushinda na kushindwa acha maisha yaendelee,,,,,,,,

    Jibu

    ho ndo unaitwa ushindani lazima wengine washindwe ili kuwapisha wengine washinde

    Jibu

    Mchezo ndivyo ulivyo asiye kubali kushindwa sio mshindani hongera naomi

    Jibu

    Waliotolewa pole yao .walioshinda wakaze buti

    Jibu

    Kushinda na kushindwa ndo matokeo kikubwa wajipange kwa msimu ujao!

    Jibu

    Mchezo wa Tennis umeanza kunivutia sasa ntaanza kufuatilia sana

    Jibu

    Congratulations

    Jibu

    Mchezo wa Tennes upendwa na watu upo vizuri sana

    Jibu

    Naomi sio mtu mzuri

    Jibu

    Hongera Naomi

    Jibu

    vizuri ndo matokeo ya mchezo

    Jibu

    ndo mpira huo kuna kushinda na kushindwa

    Jibu

    Matokeo ndio yalivyo kuna kushinda na kushindwa

    Jibu

    Congrat naomi OSAKA

    Jibu

    Naomii katishaa

    Jibu

    Ni nafasi Kwa wanaoendelea kufany vzur Zaid ili kua mabingwa

    Jibu

    Pongezi ziende kwa naomi

    Jibu

    Hongera sana naomi

    Jibu

    Hayo ndiyo matokeo kuna kushinda na kushindwa

    Jibu

    Ni mchezo mzuri Sana pongezi Naomi

    Jibu

    Safi sanaaa Naomi

    Jibu

    Congrat naomi OSAKA

    Jibu

    Ndo michezo ilivyo lazima ulie na kucheka

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.