Mchezo wa soka umekuwa ukitupiwa lawama za mara kwa mara linapokuja suala la usawa wa mishahara kati ya wachezaji wanawake na wanaume. Brazil wameamua kulitafutia ufumbuzi.
Chama cha Soka nchini Brazil kuwalipa wachezaji wote wa timu ya Taifa mishahara sawa.
Chama hicho [CBF] kimedhamiria kuwalipa wachezaji wote wa timu ya taifa kwa wanawake na wanaume mishahara na bonasi sawa kwa kuipeperusha bendera ya timu yao. Ushiriki wao kwenye maandalizi na mechi za timu ya taifa, utawapatia malipo sawa bila kujali ujinsia wao.
“Tangu mwezi Machi, CBF imewapa thamani sawa kwenye zawadi na malipo ya siku kwa timu za wanawake na wanaume.
“Hii inamaanisha kwamba, wachezaji wote watalipwa kama wachezaji. Wanachokipata wanaume, wanawake pia watapata vivyo hivyo.
“Hakuna tena ubaguzi wa jinsia, CBF itawapa haki sawa wanaume na wanawake. Watakachokipata kwa kushiriki na kushinda Olympic mwakani, ni hicho hicho ambacho na wanaume wangepata.” amesema raisi wa CBF – Rogerio Caboclo.
Australia, Norway na New Zealand ni kati ya nchi ambazo ziliamua kuwalipa kiwango sawa wachezaji wao wa timu za taifa za wanaume na wanawake.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Caroline
Ubaguzi wa kijinsia haukubaliki kote duniani…wawalipe sawa maana wote wanapeperusha benders ya taifa
Ernest
Imependeza sana hii, Hongera chama cha Soka cha Brazil kwa kuona mbali
felister
imependeza hongereni chama cha soka cha Brazil kwa kuligundua hili haki sawa kwa wote
Adelta
Ni jambo jema kwa sababu wote wanatakiwa kupewa haki sawa@meridianbettz
Fatina mfigi
Imependeza na Ni Jambo zuri kupewa haki sawa inabidi wengine wainge kwa kwei
Mwanahamisi
Ubaguzi wa kijinsia sio Jambo zuri
Latifa juma mohamed
Safi sana
Dorophina
Wamefanya vizuri sana chama cha soka cha Brazil hii itasaidia watu kufanya kazi kwa moyo bila maneno maneno
Nasra
Haki sawa ni jambo zuri
magdalena
jambo jema sana kwa kuwalipa wote kwa usawa ili kila mtu ajione yupo sawa na wenzie mfano wa kuigwa huu
Lydia Emmanuel Magoti
Himependeza sana hongereni Sana Brazil itasaidia kuwalipa hote sawa ili kilamtu ajione yupo sawa na wenzake
Shani
So nice!
Rehema
Ni Jambo zuri
Hidaya
Hongereni wameliangalia swala hili kwa jicho la tatu
Tatu
Hii ni jambo nzuri sababu wote wanafanya kazi sawa
Furahav
Ili limekaa vizuri.
aisha
Brazili mmetisha sana kwa hili tunawapongeza mnooo
Khadija
Safi sana haki sawa kwa wote#meridianbettz
Povel
Jambo zuri Sana hili ni mfano wa mataifa mengne kuiga jambo Kama hili
Sauda
Haki sawa
Mwajumah
Hongera sana chama Cha soka brazil kimeona mbali sana#Meridianbettz
Frank P
Sidhani kama imekaa sawa hii
Saupha mohamed
Jambo zuri zuri
Fatuma kasomo
Safi
Amiri Kayera
Safi iyo ndo haki sawa
Neema
Hapo ndio haki sawa kwa wote
Theonestina
Haki sawa kwa wote
Rose kapinga
Ukisikia haki sawa ndio hiii!!!
Sabrina
Chama cha soka nchini Brazil wamefanya jambo la maana inapendeza wachezaji watimu ya taifa walipwe sawa bila kujali jinsia
Genia Sikaluzwe
Hiyo imekaa vizuri
kabogoro
Maoni: hii ya Brazil nimeielewa sana kwasababu timu ya taifa ni kujitolea
Shafii
Hii itapelekea kujituma kwa moyo wote kwa wachezaji kwenye mashindano mbali mbali.
Ester jackson
Safii sana Brazil mana hapo mnaonyesha kuwa ubaguzi hautakiwi kabisa haki sawa
farida ahmadi
Wamefanya vizuri Sana Brazil
Zeiyana
Vizuri sana walivyo fanga Brazil haki sawa sikuzote ukiangalia wote wapo kwa ajili ya kukupeperusha bendera ya inchi yao
Samiah
Safi
Issa
Imetulia sana
Hope mwaikuka
Ni vzur walipwe sawa
Gabriel
Vizuri sana walivyo fanga Brazil haki sawa siku zote ukiangalia wote wapo kwa ajili ya kukupeperusha bendera ya nchi yao
Tahiya
Hii safi hakuna mambo ya kujiona zaidi ya mwenzio kwa tofaut ya mishahara
warda
Habari njema