Courtois Aondoka kwenye Kambi ya Ubelgiji

Goli kipa wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ubelgiji – Thibaut Courtois, ameondoka kwenye kambi ya timu ya taifa na kurejea Real Madrid.

Mpaka sasa haijajilikana sababu ni nini. Japokuwa, kulikuwa na taarifa zilizosambaa zikidai kipa huyo alikutwa na maambukizi ya virusi vya COVID19.

Hata hivyo, Kocha wa timu ya Ubelgiji – Roberto Martinez alikanusha taarifa hizo akisema,

Courtois yupo tayari kufanyakazi. Idara ya afya imetuthibitishia kuhusu afya yake na hana maambukizi ya COVID 19, taarifa hizo zimenihuzunisha sana.”

Ubelgiji watacheza na Denmark siku ya jumamosi kabla ya kukutana na Iceland siku ya jumanne.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

35 Komentara

    Qurtois huo sio uzalendo kwa taifa lako

    Jibu

    Safari njema

    Jibu

    Mashabiki wanakutakia Kila la kheri
    @meridianbettz

    Jibu

    Duh majanga kwl ila uzalendo unahitajik kwny taifa lako

    Jibu

    alibidi aoneshe uungwana kidogo asingeondoka katika club ya taifa lake

    Jibu

    Kwanini wametoa taarifa ambazo hazikuwa sahihi kama Ni mgonjwa lakini kumbe hana maambukizi yoyote ila Qurtois angebaki tu kwenye taifa lake

    Jibu

    Hapa bado kuna sitofahamu kocha Roberto Martinez alitakiwa kuthibitisha kama Courtois yupo na amejumuishwa kwenye kikosi

    Jibu

    Nidhamu kwa mchezaji ni muhimu na ndio muhimili wa mafanikio kila nyanja,lazima kuna shida mahala na hilo linaweza kupromosha mafanikio ya kizazi cha dhahabu ambacho hakijaonyesha mambo makubwa kulingana uwezo mkubwa wa mchezaji mmoja mmoja#meridianbettz

    Jibu

    Hapo maswal meng san

    Jibu

    mmmh apo wanatuchanganya km alikua na maambukizi ya covid 19 mbona ameenda real Madrid…?

    Jibu

    Kila la khery huko anapoenda

    Jibu

    Mi nasubiria iyo mechi ya ubelgiji

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Safari njema

    Jibu

    Kila la kheri huko aendako#Meridianbettz

    Jibu

    Iko ni kizungumkuti kwa kweli!

    Jibu

    Maisha mema kwake huko haendapo

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Kila LA kheri

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Kila la kher huko unakoenda

    Jibu

    Dah

    Jibu

    Bora sasa kapige kaz

    Jibu

    All de best

    Jibu

    Nidhamu kwa mchezaji ni muhimu na ndio muhimili wa mafanikio kila nyanja,lazima kuna shida mahala na hilo linaweza kupromosha mafanikio ya kizazi cha dhahabu ambacho hakijaonyesha mambo makubwa kulingana uwezo mkubwa wa mchezaji mmoja mmoja

    Jibu

    Awezi ondoka bila sababu

    Jibu

    Safari njema uko uendako#meridianbettz

    Jibu

    majanga kwl ila uzalendo unahitajik kwny taifa lako

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Duh sio poa bhana

    Jibu

    Hapo lazima pawe na kitu nyuma ya pazia

    Jibu

    Itakuwa ni huu ugojwa tu

    Jibu

    Mmmh balaa.

    Jibu

    Duuh

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.