Ronaldo akumbushwa Barakoa Mchezo Dhidi ya Croatia.


Nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo alikumbushwa kuvaa barakoa na Afisa mmoja wa afya kama sheria zinavyoshauri wachezaji wa akiba kuvaa barakoa wanapokuwa nje ya uwanja.

Cristiano Ronaldo alionekana kutovaa barakoa yake wakati akiishuhudia timu yake ikiiporomoshea kipondo kizito cha bao 4-1 timu ya Croatia katika mashindano ya “UEFA Nationa League” yanayoendelea.

 

Ronaldo akumbushwa Barakoa Mchezo Dhidi ya Croatia.

Ronaldo ambaye aligoma na kuondoka katika klabu yake ya Juventus baada ya mchezaji mwenzie kuugua Virusi vya korona mapema mwaka huu.

Mchezaji huyo pia hakufanikiwa kuchukua ufungaji bora msimu huu baada ya kupata changamoto kutoka kwa mchezaji bora wa Lazio msimu huu, Ciro Immobile.

Cristiano alikuwa anahusishwa kukihama kikosi cha Juventus baada ya kuondolewa na Lyon katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa, lakini mchezaji huyo alikanusha madai hayo katika kurasa za mitandao yake ya kijamii.

 

 


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

41 Komentara

    duh!!corona bado ipo tahadhari muhimu#meridianbettz

    Jibu

    Mmh corona noma.

    Jibu

    tahadhali muhimu wamefanya jambo jema sana kumkumbusha

    Jibu

    Kinga ni bora kuliko tiba

    Jibu

    Corona bado ipo tahadhari muhimu

    Jibu

    Kuna mda tunapitiwa japo corona bado ipo

    Jibu

    Duu Corona bado ipo tahadhari muhimu

    Jibu

    Hizo barakola nayo ni shida zinabana pumzi

    Jibu

    Afya kwanza mengine baadaye. Kibongo bongo star kama hiyo hata kama corona imepamba moto hakuna mwenye ubao wa kumwambia chochote. Samatta wetu aliomba radhi ya kuvaa barakoa kwenye mkutano na vyombo habari mechi ya hisani na timu kiba#meridianbettz

    Jibu

    jambo zuri afya kwanza

    Jibu

    Afya kwanza

    Jibu

    Duuh corona hatar

    Jibu

    Avae tu kwa ajili ya usalama

    Jibu

    Jambo zuri afya ni muhimu.

    Jibu

    kinga ni bora

    Jibu

    Tahadhari inatakiwa katika soka

    Jibu

    Afya kwanza

    Jibu

    Ni bora wamemkubusha kuvaa barakoa ili ajikinge zaidi

    Jibu

    safii sana angalizo la afya kwa wachezaji wote

    Jibu

    Kavulugw na kipgo

    Jibu

    Jambo zuri kujikinga

    Jibu

    Kukumbushana muhimu corona inatishaa

    Jibu

    Kuna mda mtu unatamani bola liwe tu ukingalia kwa upande wa wachezaji wa nje kila siku unasikia listi ya maambukizi Ronaldo kaamua liwalo na Liwe tu

    Jibu

    Ni Jambo la msingi

    Jibu

    Tahadhali muhimu wamefanya jambo jema sana kumkumbusha

    Jibu

    Wako sahihi mana covid 19 ni noma

    Jibu

    Vzr sana ‘ wanamjali

    Jibu

    So nice, unaambiwa Kinga ni Bora kuliko tiba.

    Jibu

    Asijisahau sana ugonjwa bado upo huu

    Jibu

    Kinga ndio mpango mzima

    Jibu

    Fanya hivyo broo,kinga ni bora kuliko tiba!!

    Jibu

    CR7 alikuwa anawaza zaidi mechi kuliko kitu kingine chochote.

    Jibu

    Gud newson

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Kujikinga ni lazima

    Jibu

    Noma saanaa Corona

    Jibu

    Akili ilikua mchezoni

    Jibu

    Ni vizuri Sana

    Jibu

    Afya kwanza mengine baadaye. Kibongo bongo star kama hiyo hata kama corona imepamba moto hakuna mwenye ubao wa kumwambia chochote. Samatta wetu aliomba radhi ya kuvaa barakoa kwenye mkutano na vyombo habari mechi ya hisani na timu kib

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.