Newcastle United wamekamilisha usajili wa mshambuliaji – Callum Wilson kwa dau la pauni milioni 20 na kusaini mkataba wa miaka 4.
Wilson amesajiliwa kutoka Bournemouth ambapo aliitumikia timu hiyo kwa jumla ya michezo 184 na kufunga magoli 67. Aston Villa walikuwa wanaiwinda saini ya mshambuliaji huyu lakini walishindwa kulipwa dau la usajili wake.
Wilson anakuwa mchezaji wa 3 kusajiliwa na Steve Bruce katika kikosi chake. Mpaka sasa, Newcastle imeshawasajili Jeff Hendrick na Mark Gillespie waliosajiliwa kama wachezaji huru.
Callum Wilson arejea EPL kwa tiketi ya Newcastle.
“Baada tu ya kujua Newcastle wamevutiwa na mimi, ilikuwa ni kitu kikubwa sana kwangu. Ni klabu kubwa yenye historia nzuri. Kwa miaka mingi, wamekuwa na washambuliaji wazuri. Kama nitaweza kufikia nusu ya walichokifanya, nitafurahi zaidi.” amesema Wilson.
Kuondoka kwa Wilson inakuwa ni muendelezo ya baadhi ya wachezaji nyota waliotimka kwenye kikosi cha Bournemouth baada ya kushuka daraja.
Tayari Bournemouth imewauza Nathan Ake na Aaron Ramsadale ambao wamesajiliwa na timu zinazoshiriki Ligi Kuu Uingereza – EPL.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Ernest
Newcastle inajipanga kweli kweli kuleta upinzani kwenye EPL msimu ujao na hii ni dalili nzuri ya kuwa na ligi yenye mvuto sana msimu wa 2020/2021
Povel
Congrat wilson 🤝🤝🤝🤝 deal Done✍️✍️✍️✍️
magdalena
habari njema sana kwa mashabiki wa new castle
Elika
Safi sana nenda kafanye kazi kijana
Furahav
Safi
Fatina
Nice
Sabrina
New castle hainaga kazi mbovu wameleta jeshii
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri kwao Newcastle kupata jembe
Tatu
Safi sana Wilson nenda kafanye kazi huko
aisha
Pongezi kwako callum kwa kupata dili hilo
Mwanahamisi
Safi sana wilson
rama
usajiri mzuri
Neema
Waoooo hizii ni Habari njema sana
Hidaya
Usajili uko poa
Mwajumah
Hakika ni habari njema sana#Meridianbettz
felister
kapige kazi kijana
Khadija
Nice#meridianbettz
Sadick
Callum-wilson bonge la mchezaji. Newcastle itatisha msimu ujao kwa kusajiri majembe#meridianbettz
Hope mwaikuka
All ze wilson
lombo
habar njema
Adelta
Pongezi kwa Newcastle @meridianbettz
Shafii
Gud deal kwa Newcastle.
Zeiyana
Wilson yupo vizuri sana kama Newcastle watamtumia mivizuri asilimia mia hatabadilisha matokea
jullie
good
Theckla
Msimu ujao utakuwa na ushindani Sana Mana Kila timu itajipanga kusajili visu
Salma ngende
Vizuri
Amiri Kayera
Usajir mzur
Saupha mohamed
Nice
Rehema
Gud news 👍
Gabriel
klabu kubwa yenye historia nzuri. Kwa miaka mingi, wamekuwa na washambuliaji wazuri. Kama nitaweza kufikia nusu ya walichokifanya, nitafurahi zaidi Wilson.
Janeflora malisa
Good
Latifa juma mohamed
So nice, wellcome Wilson .
Dorophina
Callum karibu Newcastle
Sauda
Kila la kheri Callum
Rose kapinga
Usajili umepamba motooo!!!
Nasra
Nenda kafanye kazi
Tumaini kasalile
Well done
Tahiya
Safi sana
Samiah
Safi
farida ahmadi
Habari njema Sana
David Pere
Newcastle inajipanga kweli kweli kuleta upinzani kwenye EPL msimu ujao na hii ni dalili nzuri ya kuwa na ligi yenye mvuto sana msimu wa 2020/2021