Ansu Fati Amkosha Enrique

Kocha wa timu ya taifa ya Hispania, Luis Enrique amekiri kuwa uwezo wa kinda wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Hispania, Ansu Fati, wa kucheza mpira, kujiamini, kutengeneza nafasi ni mkubwa sana na usio wa kawaida.

Kinda huyo mwenye umri wa miaka 17 tu anakichezea kikosi cha Hispania kwa mara ya kwanza katika mashindano ya mataifa ya UEFA na ameonesha kiwango kikubwa sana. Fati alifunga goli katika mechi yake ya pili tu na kikosi cha Hispania siku ya Jumapili.

Hispania waliwakabili Ukraine katika mtanange huo na walijipatia goli la kwanza mapema kabisa kutoka kwa Sergio Ramos kwa mkwaju wa penati. Goli la pili la Hispania lilifungwa na Fati dakika ya 32 ya mchezo, hadi dakika 90 zinamalizika, Hispania 4 na Ukraine 0.

Ansu Fati, aliyecheza dakika zote 90 katika mchezo huo, alionwsha kiwango cha kuridhisha na kumfurahisha kocha wake Luis Enrique. Pamoja na kufunga goli lake la kwanza na timu ya taifa ya Hispania, Fati alitengeneza nafasi mbili, kupiga mashuti sita na ‘dribbles’ sita ambazo ni nyingi kuliko mchezaji yeyote aliyecheza mechi hiyo!

Baada ya mchezo huo kumalizika, Enrique hakuwa na maoni mengine kwa Fati zaidi ya kumsifia kwa kiwango chake na kuwa hajaonesha ‘utoto’ kama ilivyotarajiwa kutokana na umri wake mdogo.

“Wakati tunaita kikosi hatukuangalia sana umri wake. Ilikua wazi kuwa, kutokana na umri wake, Fati atacheza vibaya mara nyingine, atafanya makosa ya wazi kabisa. Tuliamini hiyo yote itakua ni sehemu ya kujifunza kwake, lakini alichokuja kukionesha ni tofauti kabisa na matarajio,” Enrique alisema.

“Amecheza kwa kujiamini na utulivu wa hali ya juu. Ninafurahi kumuona mwenye furaha hivi. Natumaini atafanya makubwa zaidi ya haya.” Enrique akiendelea kumwagia sifa Ansu Fati

Hispania watazikabili Ureno na pia Switzerland katika hatua inayofuata ya mashindano hayo.

 


 

SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

40 Komentara

    Baada ya mchezo huo kumalizika, Enrique hakuwa na maoni mengine kwa Fati zaidi ya kumsifia kwa kiwango chake na kuwa hajaonesha ‘utoto’ kama ilivyotarajiwa kutokana na umri wake mdogo.

    Jibu

    safi sana kijana mwazo mzuri huo

    Jibu

    Ni kweli hanacho sema enrigue ukiangalia ansu amekua na mabadiliko makubwa sana

    Jibu

    Enrique Yuko vizuri na anajiamini@meridianbettz

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    katika mashindano ya mataifa uefa ameonyesha kiwango cha juu sana

    Jibu

    Kwa mwendo uwo alionao naona ukifika mbali

    Jibu

    Messi the GOAT alishasema kuwa kijana anafuture kubwa sana huko mbeleni endapo tuu ataongeza juhudi na maarifa.

    Jibu

    Ansu fat ni mchezaji atakaekuwa hodari the msimu miwili

    Jibu

    Kwl Ansu FATi amekwisha iva yupo kwny ubora sana

    Jibu

    Ansu Fat ni mchezaji mzuri alafu umri wake unaruhusu.

    Jibu

    kijana alifanya vizuri sana ila aendelee kuonesha juhudi nyingi zaidi ili aweze kufikia mbali

    Jibu

    Kijana yuko vizuri sana..hongera sanaaa

    Jibu

    Yuko vizuri.

    Jibu

    Kijana yupo vizuri azidi kupambana tuuu atafika panapo stairi

    Jibu

    Umefanya vizuri uendelee hivyo hivyo

    Jibu

    Kijana yupo vizuri sana

    Jibu

    Apambane tu atafika anapotaka

    Jibu

    Anaweza kuwa Messi ajae wa Barcelona. Kuna baadhi ya chipukizi ambao hupata umaarufu mapema hupotea mapema kutokana na kulewa umaarufu#meridianbettz

    Jibu

    Safi sana kijana#meridianbettz

    Jibu

    Ansu fat ni mchezaji mzuri sana akaze buti azid kukuza kipaji vizuri#Meridianbettz

    Jibu

    ANSI anajua wajibu wake ni nn so namuaminia sana

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Ansu yuko vizuri sana .

    Jibu

    Anajua sana

    Jibu

    Ansu kinda ataekuwa poa pale barca

    Jibu

    Yupo vizuri kijana

    Jibu

    Ni nyota anaekuja Kwa kasi

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    kikosi hatukuangalia sana umri wake. Ilikua wazi kuwa, kutokana na umri wake, Fati atacheza vibaya mara nyingine, atafanya makosa ya wazi kabisa. Tuliamini hiyo yote itakua ni sehemu ya kujifunza kwake, lakini alichokuja kukionesha ni tofauti kabisa na matarajio,” Enrique alisema.

    Jibu

    Yupo vzr

    Jibu

    Kwa mwendo uwo alionao naona ukifika mbali

    Jibu

    Vizuri sana kijana

    Jibu

    Kazi nzuri!!

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Yuko pw

    Jibu

    Yupo sawa

    Jibu

    Baada ya mchezo huo kumalizika, Enrique hakuwa na maoni mengine kwa Fati zaidi ya kumsifia kwa kiwango chake na kuwa hajaonesha ‘utoto’ kama ilivyotarajiwa kutokana na umri wake mdogo.

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.