Dullah Mbabe, Twaha Kiduku Ulingoni tena Disemba 26

Mabondia wa ngumi za kulipwa nchini, Twaha Hassan ‘Twaha Kidudu na Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ wanatarajia kupanda ulingoni tena Desemba 26, mwaka huu kuzichapa katika pambano la usiku wa mabingwa.

Pambano hilo limepangwa kufanyika katika Ukumbi wa Club Next Door, Masaki jijiji Dar.

Twaha Kiduku na Dulla Mbabe ambao wametoka kupigana wikiendi iliopita wapanda ulingoni katika pambano kwa kucheza na mabondia kutoka nchini Malawi.

 

Mbali ya mabondia hao, mabondia  wengine watakaopanda ulingoni ni Mfaume Mfaume atazichapa na Chikondi Makawa wa Malawi,  wakati  Dullah Mbabe yeye akitarajia kuzichapa na  Arick Mwenda pia kutoka Malawi.

Kwa upande wa Selemani Kidunda kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ‘JWTZ’ akitarajia kucheza dhidi ya  Limbani Masamba na mwenzake  Ismail Isaac ‘Gari ya Tano’  atacheza na  bondia wa ndani Baina Mazora huku Tonny Rashid atetea mkanda wake kwa Mzimbabwe, Tinashe Mwadziwana.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

36 Komentara

    huu mtanange utakuwa mzito sana wa kukata na shoka nausubiria kwa hamu zote

    Jibu

    lazima apasuke mtu apo sio poa tunasubiria kuona Nani ataibuka mbabe

    Jibu

    Kwa pambano ili patakua hapatoshi.

    Jibu

    Balaa hili nalingoja kwa hamu

    Jibu

    Litakufa jitu sio kwa mtanange huo

    Jibu

    Mchezo wa masubwi naona unakuja kwa kasi sana

    Jibu

    Litakuwa pambano kali

    Jibu

    saf

    Jibu

    Mambo ni moto

    Jibu

    Mh kwa pambano ili patakua hapatoshi

    Jibu

    Patakua hapatoshi usiku wa mabingwa vitasa Kama vyotee.

    Jibu

    bonge la mechi

    Jibu

    Dullah atakalishaww tena

    Jibu

    mchezo wa Ndondi umeanza kurejesha umaarufu uliopotea na Wapenzi wa masumbwi tunasubiri kuona ngumi jiwe#meridianbettz

    Jibu

    Pambano kali

    Jibu

    Mtanange wa kibabe hapatatosha

    Jibu

    Siwezi kukosa pambano hili lazima niangalie mwanzo mwisho#meridianbettz

    Jibu

    Deal zinaongezek ngumi sasa zitakua zinalipa

    Jibu

    Mambo mottoo

    Jibu

    Tuna subiri kuona kwa hamu wamalawi wakichezea kichapo..!dulla mbabe hajawai kuyumba akiwa ulingoni

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Bonge la pambano

    Jibu

    mtanange utakuwa mzito sana wa kukata na shoka nausubiria kwa hamu

    Jibu

    Daah naona dulla mbabe anataka kujiuliza tena

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Tunasubiri kuona nani atakalishwa chini

    Jibu

    Mambo ya ambakati chembe,kidevu lazima ukae!!

    Jibu

    Hii wabongo tunasema mwanakulifind mwana Kuliget, yetu sisi machoo tuu.

    Jibu

    Mtanange bomba

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Utakuwaa mpambanoo wa kihistoria

    Jibu

    Wale wapenzi wa ngumi tukutane December

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    mchezo wa Ndondi umeanza kurejesha umaarufu uliopotea na Wapenzi wa masumbwi tunasubiri kuona ngumi jiwe

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.