Jumla ya mashabiki 1,000 watakubaliwa kuhudhuria mechi 10 tofauti katika soka la Uingereza wikendi hii kama sehemu ya mpango wa serikali kurejesha mashabiki viwanjani baada ya janga la corona.
Maamuzi hayo ni zao la mashauriano kati ya serikali ya Uingereza na chama cha soka cha taifa hilo (EFL) huku mashabiki zaidi wakitarajiwa kuhudhuria michuano mbalimbali kuanzia Oktoba 1, 2020.

Hakuna watu waliokubaliwa kuhudhuria mchuano wowote katika soka nchini Uingereza tangu Machi 2020 kwa sababu ya hofu ya msambao wa virusi vya corona.
Jumla ya mechi tatu za Daraja la Kwanza (Championship), nne za Ligi ya Daraja la Pili na tatu za Ligi ya Daraja la Tatu zimeteuliwa kwa minajili ya kufanyiwa majaribio ya kuruhusu hadi mashabiki 1,000 kuhudhuria wikendi hii (Jumamosi ya Septemba 19, 2020).

Mechi hizo ni kama ifuatavyo:
Championship:
- Luton Town na Derby County
- Middlesbrough na AFC Bournemouth
- Norwich City na Preston North End
League One:
- Blackpool na Swindon Town
- Charlton Athletic na Doncaster Rovers
- Hull City na Crewe Alexandra
- Shrewsbury Town na Northampton Town
League Two:
- Carlisle United na Southend United
- Forest Green Rovers na Bradford City
- Morecambe na Cambridge United
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


felister
safi mashabiki wanashauku kubwa
Sauda
Mashabiki ndo mpango mzima.
Sabrina
Hapo watakua wamekonga nyoyo za mashabiki hilo ndio waliokiwa wanalisubiri
Zeiyana
Itakua vizuri vigezo na mashariti vikizingatiwa ukiangalia mashabiki nao wananafi kubwa wanapokua uwanjani
Nasra
Mashabiki wanaleta hamasa
Adelta
Mashabiki tunashukuru kwa taarifa@meridianbettz
Tatu
Hii ni habari nzuri kwatu sisi mashabiki wa soka
Khadija
Raha ilioje jamani#meridianbettz
Fatina
Daaah Ni habar njema kwa cc mashabiki
Mwanahamisi
Raha iliyoje
Angelina
Sasaiv mambo safi
Dorophina
Habari njema kwa mashabiki wa soka sasa radha ya mpira itarejea
Gabriel
mashabiki hilo ndio waliokiwa wanalisubiri
Saupha mohamed
Dash habari njema kwa mashabiki
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana mashabiki ndio kila kitu
aisha
Duuh mambo yamekua mazuri
Elika
Ni jambo jema
Mwajumah
Mashabiki ndio mpango mzima#Meridianbettz
Caroline
Duhh afadhali
Hidaya
Soka bila mashabiki hakuna kitu
Ernest
Habari njema kwa Mashabiki wa soka wa Uingereza na wachezaji mpira kwani ni jambo ambalo pande zote mbili walitamani liwepo
Johnmary joel
Wee! Habari nzuri hizo#meridianbett
farida ahmadi
Habari njema Sana
Shani
Habar njema
Samiah
Nihabari njema
lombo
habar
Janeflora malisa
Vzr
Fatuma kasomo
Jambo zuri
Neema
Mashabikii ndompango mzimaa
Theckla
Mwanzo mzuri
Amiri Kayera
Utakua vzur maan soka bila mashabik nothing
Theonestina
Vizur
Shafii
Ni jambo zuri hii italeta hamasa kwa wachezaji wa timu zote.
David Pere
Habari njema kwa Mashabiki wa soka wa Uingereza na wachezaji mpira kwani ni jambo ambalo pande zote mbili walitamani liwepo
Povel
Hatua nzuri bye bye Covi 19
Rose kapinga
Hatua nzuri imefanyika,wakati wakiendelea kujikinga na corona.
magdalena
angalau wachezaji watapata moto wa kucheza vizuri sana uwanjani
Genia Sikaluzwe
Hii imekaa poa
Njiku
Mama tutasikia mlipuko mda si mrefu wa janga la corona
Hopemwaikuka
Hot news
Issa
Soka litakua na radha
Tahiya
Habari njema