Mabingwa watetezi wa EPL – Liverpool, wamekubali kumsajili Thiago Alcantara kwa dau la pauni milioni 25 kwa muda wa miaka 4.
Alcantara amekuwa akihusishwa kujiunga na “Majogoo hao wa Uingereza” kwa muda na sasa yanakwenda kutimia.
Thiago alijiunga na Bayern Munich mwaka 2013 akitokea Barcelona. Alcantara anatarajiwa kuvaa jezi namba 6 mara atakapo kamilisha taratibu zote za usajili wake ndani ya kikosi cha Liverpool.
Jurgen Klopp aligoma kuzungumzia usajili huu mapema mwanzoni mwa wiki kwa kusema, ” Kwa kuwa dirisha la usajili bado lipo wazi, siwezi kukatalia taarifa zinazosambaa.
“Inavutia kuona tunahusishwa na Thiago. Ni mchezaji mzuri na Liverpool ni klabu kubwa.”
Thiago ameshinda taji 1 la UEFA, mataji 7 ya Bundesliga, makombe 4 ya German Cup na Kombe 1 la Klabu Bingwa Duniani akiwa na Bayern Munich.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Revina
Liverpool wamechukuwa uamzi ulio sahihi ili kuweza kukamilisha kikosi ,Liverpool inayokuja sio ya mchezomchezo
felister
Thiago ni mchezaji mzuri na Liverpool ni klabu kubwa
Sauda
Hongera Liverpool kwa kupata fundi.
Zeiyana
Liverpool wanakikosi kizuri
Khadija
safi sana livepool#meridianbettz
Nasra
Liverpool wapo vzuri
Adelta
Hongera Sana Liverpool @meridianbettz
Sabrina
Alcantara karibu Liverpool uje uitumikie vyema Liverpool
Tatu
Liverpool amepata mchezaji mzuri
Fatina mfigi
Liverpool mmepata jembe
Mwanahamisi
Liverpool wapo vizuri
Angelina
Ni mchezaji mzuri
Dorophina
Bonge la dili kwa alcantara maana Liverpool Ni klabu nzuri sana
Gabriel
Ni mchezaji mzuri na Liverpool ni klabu kubwa Thiago ameshinda taji 1 la UEFA, mataji 7 ya Bundesliga, makombe 4 ya German Cup na Kombe 1 la Klabu Bingwa Duniani akiwa na Bayern Munich kwa upande wa klopp atakuwa maefanya usajil mzur sana
Saupha mohamed
Liverpool wamepata fundi safii
Lydia Emmanuel Magoti
Liverpool wamepata Kiungo mzuri anaejua kujituma kwenye kazi yake
aisha
Liverpool hawanaga kazi mbovu nawakubali sana
Mwajumah
Liverpool wamefanya Jambo la maana kumchukua kiungo huyo#Meridianbettz
Caroline
Kikosi cha Liver nomaa
Elika
Liverpool no club Bora sana na iko vizuri
Ernest
Deal Done, wacha tuone balaa la Cantara nsani ya EPL
Hidaya
Liverpool ijayo inafurahisha
Shani
Liverpool sasa patakua hapatoshi
Johnmary joel
Liverpool wamepata jembe#meridianbett#
farida ahmadi
Liverpool wamejipanga Vzr
Mariam mtandama
Habari njema
Samiah
Gud
lombo
habar njema
Janeflora malisa
Vzr
Fatuma kasomo
Saf liva
Neema
Liverpool wako vizuri mno
Theckla
Usajili mzuri
Amiri Kayera
Nausubir Kwa ham usajir huu
Theonestina
Liverpool jeshi
Shafii
Bonge la kiungo itakua kandarasi bomba Sana kwa Liverpool.
Frank P
Nenga na silvester sa ITAKUWAJE PALE Mduarani(katikati) huku naby hapa fabi pale Maestro thiago plus Gini aisee shkamoo Klopp shkamoo Liverpool “we are not going to defend it we are going to attack it” YNWA
David Pere
Bonge la kiungo itakua kandarasi bomba Sana kwa Liverpool.
Povel
Congrat Alcantar Kama atatuwah Anfield
Rose kapinga
Kwenye pesa hakishindikan kitu
magdalena
liverpool wanajua kusajili wachezaji makini sana
Genia Sikaluzwe
Habari njema
Njiku
Kama watampata Alcantara bhasi liverpool itakuwa imepata mchezaji mzuri na anayejua timu inataka nn
Latifa juma mohamed
Liverpool hawanaga kazi mbovu nawakubali sana
Hopemwaikuka
Hongera zao wamepata chuma
Issa
Kisheti wa kihispain ni makin huyu mtu