Lucas Paqueta Kuhamian Lyon, Wakala Yupo Kazini

Ripoti zinasema kuwa klabu ya AC Milan iko tayari kumuachia Lucas Paqueta kwenye dirisha hili la uhamisho. Wakala wa nyota huyu tayari yupo mazungumzoni na Lyon ili kukamilisha suala hilo kwa mujibu wa Tuttorsport.

Nyota huyu aliwasili Milan akitokea Flamingo mwaka 2019, lakini msimu wake wa 2019-20 haukuwa mzuri sana kama ambavyo alitarajiwa.

Milan wanaamini kuwa kumuuza wakati huu ni uamuzi mzuri kwa pande zote mbili na wanatarajia kuwa watakusanya €25m.

Lucas Paqueta
Lucas Paqueta

Lyon tayari wanatwa kuwa wapo katika mazungumzo na wakala Eduardo Uram. Klabu hii inatazamia kuuza mchezaji ili waweze kukamilisha uhamisho wake.

Baadhi ya vyanzo vinataja kuwa Memphis Depay yupo sokoni na anatarajiwa kukamilisha uhamisho wake kuingia Barcelona, huku Houssem Aouar na Jeff Reine-Adelaide nao pia wakitarajia kuondoka.

Ikiwa klabu itakamilisha mauzo ya wachezaji wao mapema basi watakuwa kwenye nafasi ya kuweza kukamilisha dili la Lucas Paqueta.

 


 

SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

38 Komentara

    Hapa wakala itabid awe makin na swala mkataba katika msimu huu maana lockdown nimefanya timu nying kushindwa usajil na kuwafanya wachezaji kuacha mikataba na kubaki bila timu but upande wang Lucas Paqueta namkubal sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Lucas yupo vizuri sana inabidi wakala wawe makini katika kuwauza wachezaji kwenye timu

    Jibu

    Good news

    Jibu

    kila la kheri uko aendako

    Jibu

    Lyon wamepata jembe lucas ni mchezaji mzuri

    Jibu

    Kila la kheri uko aendako#Meridianbettz

    Jibu

    Vizuri Sana mtu wakazi huyo

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Lucas Yuko vizur sana

    Jibu

    Mambo yanazidi kuwa mazuri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Kila la kheri kwake

    Jibu

    Lucas yupo vizuri

    Jibu

    Lucas namkubali sana

    Jibu

    Ni deal zuri kwa Lucas Paqueta kwani atapata chance ya kwenda kukipiga katika moja ya club Bora nchini Ufaransa

    Jibu

    Lucas yupo vizuri@meridianbettz

    Jibu

    Lucas mkali

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    gud news

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Habari njm

    Jibu

    Habari nzuri sana hii

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Safari njema uko uendako#meridianbettz

    Jibu

    Mchezaj mzur popot anachez

    Jibu

    Akaze buti maisha popote

    Jibu

    Itakua poa sana kama dili litatimia

    Jibu

    Sajiri nzuri kwa Lyon.

    Jibu

    Habari njema.

    Jibu

    Hapa wakala itabid awe makin na swala mkataba katika msimu huu maana lockdown nimefanya timu nying kushindwa usajil na kuwafanya wachezaji kuacha mikataba na kubaki bila timu but upande wang Lucas Paqueta namkubal sana

    Jibu

    Kila la kheri paqueta

    Jibu

    Mambo ya pesa

    Jibu

    lukas kijana makini sana anaujua mpira sana

    Jibu

    Ipo poa

    Jibu

    Nc

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.