Kocha wa Juventus – Andre Pirlo, amesema timu yake bado inatengenezwa hivyo matokeo dhidi ya Roma hayampatii tabu.
Juventus walikuwa uwanjani wikiendi hii kucheza na AS Roma. Mchezo ambao ulimalizika kwa matokeo ya sare 2-2.
Kwa mujibu wa Pirlo, wachezaji wake bado hawajawa tayari kikamilifu na hivyo wanaendelea kujiweka vizuri kama timu. Mchezo dhidi ya Roma ulikuwa mgumu kwa Juventus ambao walijitahidi kusawazisha matokeo baada ya kufungwa 2-1.
Kiungo wa Juventus – Rabiot alipewa kadi mbili za njano na hivyo kutolewa nje katika dakika ya 60. Cristiano Ronaldo aliokoa jahazi la Juventus baada ya kufunga magoli yote 2 na kuokoa pointi 1 katika mchezo huo.
“Roma wanashambulia na wachezaji wengi kama sisi tunavyofanya, hivyo ulikuwa ni mchezo wa tofauti na Sampdoria.
“Hii ni hatua moja nyuma, lakini ni timu inayojengwa. Hatukuwa na muda wa kujiandaa zaidi kabla ya msimu. Kwetu huu ni mchezo wa kujipima.
“Mwisho wa siku tumepata pointi 1. Alvaro Morata amefika siku 2 zilizopita, Arthur hajacheza kwa miezi 6 na anahitaji muda kuzoea mpira wa Italia. Bentancur anaanza kujisikia vizuri. Hali za hawa wachezaji wote zinaendelea vizuri taratibu.” amesema Andre Pirlo.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Tatu
Wachezaji wa juve bado awajawa tayari hvyo wanajifua ili kuingia uwanjani
Povel
Pirlo na juve mpya inabid tuwape muda kutengenezah kikos chake msimu huuu kwa matokeo ya Jana tuwanapa credit roma kwa kupata sare Kwan juve imeshehenu wachezaj wenyew vipaj vya Hali ya juu
magdalena
juve wanabidi wajipange ippasavyo ili kikosi chao kiweze kuwa imara
Angelina
Juve waongeze nguvu
Zeiyana
Roma wanaweza wakasena Ronaldo ndio mchawi wao..!kwa kuangalia mchezo Roma ndio walianza kuongoza mchezo ila ndio ivyo tena waenga wanasena kutangulia sio kufika
Lydia Emmanuel Magoti
Nivizuri kujipanga sawa Juve unajua kila timu sasaivi imekuja kivingine nakila mtu anataka ushindi kwaio Juve wanacho kisema Pirlo yupo sahii wakaze buti iliwae kwenye nafasi nzuri
Ernest
Makocha wa kipindi hiki wanakazi kubwa sana kupata mafanikio kwa haraka sababu timu nyingi zimejipanga na ile Heshima sijui ya kusema Juve, Mancity, Barca, Madrid, Chelsea, Arsenal na Liverpool ni timu kubwa basi zinapokutana na timu ndogo lolote linaweza kutokea na sio kuwapa ushindi tu Timu Kubwa
Hidaya
Juve wakaze buti
aisha
Sawa juventus lakini mnatakiwa mjitahidi sana maana matokeo yakiwa mabovu sisi mashabiki ndio tunaoumia
Adelta
Juve iko vizuri kwa sasa
Fatina mfigi
Juve wapo vizur kwa ss waendele kujipang ili waendele kupata motokeo mazur
Salma ngende
Juve waongeze nguvu
Dorophina
Juve bado Wana kazi kubwa ya kupanga kikosi
Antony Luseno
Pirlo yupo sahihi bado ni mapema mno kumtabiria kwa matokeo ya mechi moja
Adelta
Itakua team nzuri zaidi
Mariam mtandama
Juventus waongeze bidii
Theckla
Yuko sahihi
Khadija
Juvetuns wakaze buti
Elika
Hapo Juve nikujipanga tuu hakuna cha zaidi
Mwajumah
Juve inabidi wajipange ipasavyo kikosi kiwe na nguvu
Janeflora malisa
Yupo sahihi
Shani
Juve inatakiwa iimarishe kasi iliokuwa nayo mwaka jana
Hopemwaikuka
Kaz kazin
Gabriel
Pirlo yupo sahii wakaze buti iliwae kwenye nafasi nzuri
Fatuma kasomo
Juve waongeze juhudi
lombo
sahh
Samira
Juve wajitahidi sana kuongeza nguvu
Amiri Kayera
Pirlo anatengenez kikos bola
Theonestina
Jitihada zinaitajika apo
Issa
Juve ina mapunguf sehem ndogo sana na usajili haijafanya mkubwa imetimia labd sehem ya ushambuliaj
Sabrina
Juve wakazee
Rehema
Nice
Saupha mohamed
Juve IPO vizurii
Samiah
Nice
Nasra
Juve iko poa
Rose kapinga
Tunataka maendeleooo!!!
felister
yupo sahihi
Latifa juma mohamed
Juve waongeze nguvu za ziada.
David Pere
Roma wanaweza wakasena Ronaldo ndio mchawi wao..!kwa kuangalia mchezo Roma ndio walianza kuongoza mchezo ila ndio ivyo tena waenga wanasena kutangulia sio kufika
Tumaini kasalile
Wapige tizi