Frank Lampard, Kocha Mkuu wa Chelsea amesema kuwa kupoteza kwake mbele ya Tottenham Hotspurs kumemvuruga kwa kuwa walianza kushinda ndani ya dakika 45 za mwanzo.

Mchezo huo wa Kombe la Carabao hatua ya 16 bora uliochezwa usiku wa kuamkia leo, Uwanja wa Tottenham Hotspur ulikuwa na ushindani mkubwa na dakika 90 zilikamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1 jambo lililopelekea mshindi kupatikana kwa penalti.
Timo Werner dakika ya 19 alianza kufunga kwa Chelsea na lilisawazishwa dakika ya 83 na Erik Lamela ambapo kwenye penalti, Spurs inayonolewa na Jose Mourinho ilishinda penalti 5-4.Mason Mount alikosa penalti kwa upande wa Chelsea.

Lampard amesema kuwa wachezaji wake walionekana wamechoka kwenye mchezo huo jambo lililowafanya washindwe kuibuka na ushindi jumla jumla.
“Tulikiwa tunahitaji kubaki kwenye ushindani ila inaonekana wachezaji wangu walikuwa wamechoka, kwa hali ile ilikuwa ngumu kupata matokeo chanya na ilikuwa ni ngumu kwetu kupoteza kwa kuwa tulianza kushinda,” amesema Lampard.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Adelta
Lampard asikerekwe huo ndiyo mpira na hayo ndiyo matokeo Ila aongeze juhudi
magdalena
lampard kikosi kizuri hana ana kazi ya ziada sana kukijenga vyema kikosi chake
Sauda
Kaza buti kijana, mpira una matokeo matatu..
Nasra
Matokeo tu hayo asichoshwe nayo
Zeiyana
Chelsea bado kabic kuna uwezekano mkubwa wa kupanga kikosi so wachezaji walio sajiliwa na wenye uwezo ni wengi lakini mpangilio wa kazi akuna kabic sio kwa matokea tuliyotegemea na usajiri walio ufanya
Fatina mfigi
Mpira una matokeo matatu kikubwa kujipange vizur ili wapate matokeo
Venerose
Usikate tamaa jipange upya
Caroline
Msilalamike.inabidi mjifunze kutokana na makosa
Elika
Hapo hakuna zaidi ya kujipanga upya tuu
Dorophina
Lampard anakikosi kizuri lakini wanamuangusha wachezaji wakifika uwanjani wanaenda tofauti
Mwajumah
Lampard usichoshwe na ayo matokeo kaza buti kusonga mbele ili uyabadilishe matokeo ayo
Latifa juma mohamed
Lampard hatakiwi kukataa tamaa aendelee kujikaza na kuimarisha kikosi vema.
Antony Luseno
Chelsea ushindi ulikuwa ni wake ndani ya dakika 90 sijajua wapi walikwama
Sadick
Ni mwanzo mbaya kwa Chelsea msimu huu, inahitaji kujipanga kusonga mbele kikakamavu#meridianbettz
Hopemwaikuka
Ndo mpira jamani
Asia Abdy
Dah sio poa yaan
Shani
Lampard atakiwa ajipange zaid aiwek Chelsea kwenye hadh yake
Johnmary joel
Mpira ni dakika 90 apaswi kukelekwa ila ajipange tena matokeo ndo hayo#meridianbett
aisha
Ilikua mechi ngum sana
Hidaya
Kuanza upya sio ujinga Chelsea watasonga mbele tu
Khadija
Duh!!!
Angelina
Wajipange upya
Saupha mohamed
Ndo Mpira huo
Issa
Ni mechi ambayo chelsea ilipoteana vibaya
Fatuma kasomo
Ndo mpira
Amiri Kayera
Yote matokeo ya mpila unawez chez vzur na usipate matokeo
Neema
Sio kila siku kushinda tu jmn
Sabrina
Mpira ndio ulivyo kuna kushinda na kushindwa au kusuruhu
Rehema
Good
felister
dah sio poa ila ndo mpira inabidi akubaliane na matokeo
Gabriel
Chelsea msimu huu inahitaji kujipanga
farida ahmadi
Lampard ni kocha mzuri Sana
Lydia Emmanuel Magoti
Ndoishatokea akubaliane na halialisi
Tatu
Lampard anatakiwa kukipanga upya kikosi chake
Ernest
Wachezaji wa Chelsea wameanza kuletea Gundu Lampard
Salma ngende
Wapambane nao
David Pere
Ni mwanzo mbaya kwa Chelsea msimu huu, inahitaji kujipanga kusonga mbele kikakamavu
Povel
Chelsea walicheza chn ya kiwango Sana nakupelekeah kupotezah mchezo hule
Samiah
Gud