French Open: Djokovic na Tsitsipas Wang'ara

Mashindano ya Roland Garos – French Open 2020 yanaendelea kutimua vumbi nchini Ufaransa. Mchezaji namba 1 kwa ubora duniani – Novak Djokovic na Stefanos Tsitsipas wanaendelea kung’ara katika mashindano haya.

Djokovic alikuwa uwanjani kupambana na Mikael Ymer. Mchezo ambao Novak Djokovic alionesha ubora wake na kumaliza kwa ushindi wa seti 6-0 6-2 6-3 .

Djokovic yupo kibaruani akitafuta taji la 18 la Grand Slam na taji la 2 la French Open. Dakika 20 za mwanzo zilikua ngumu kidogo kwa Djokovic, lakini alipambana kwa kipindi chote cha saa 1 na dakika 38 za mchezo huu.

“Malengo yangu yataendelea kuwa hivi, kujitahidi kuvishinda vizuizi vyote kwa umahiri na uhodari mkubwa.

“kiukweli hii sio hali ya hewa tuliyoizoea katika French Open. Kila mtu amekuwa akiliongelea hili. Baridi, matope nakadhalika. Vinaharibu mchezo lakini kwa uchezaji wangu sioni tabu.” amesema Novak Djokovic.

Stefanos Tsitsipas alikuwa akichuana na Jaume Munar. Katika mchezo ambao Tsitsipas alipindua matokeo baada ya kupoteza seti 2 za mwanzo, aliibuka kidedea kwa ushindi wa 4-6 2-6 6-1 6-4 6-4.

Mchezo huu ulikuwa ni wa vuta nikuvute na Tsitsipas alisubiri mpaka raundi ya 7 ili kujihakikishia anafuzu mzunguko wa pili wa mashindano haya.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

38 Komentara

    Djokovic yupo vizuri na anastahili pongezi kwa kiwango alicho nacho

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Djokovic sizani kama ana mpinzani kwa upande wa kiume maana ana juhudi za kufa mtu

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Wakati wao huu sasa wa kutamba ukiachilia mbali Serena

    Jibu

    Wako vinzur sana

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Hongera sanaaa

    Jibu

    Novat hana mpinzan

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Djokovic yuko vizur!!

    Jibu

    Fainali sijui atatinga nani?!

    Jibu

    Djokovic anajiuliza baada ya kutimuliwa US OPEN. Tennis ni moja ya michezo ya kuvutia sana Duniani#meridianbettz

    Jibu

    Kwa raha zao

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Djokvic yupo poa sana kweny tennis

    Jibu

    Wamekutana mabingw wa tenis

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Djokovic amekuw imara sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Wapo kweny kiwango kizur naamin wanawez beba vikombe

    Jibu

    Djokovic yuko vizuri

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    fainali sijui atatinga nani…?

    Jibu

    Djokovic yuko vizur

    Jibu

    Nawakubali wapo vizuri sana

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    French Open kumeonyesha dalili nzuri kwa Djokovic

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Mchezo huu ulikuwa ni wa vuta nikuvute na Tsitsipas alisubiri mpaka raundi ya 7 ili kujihakikishia anafuzu mzunguko wa pili wa mashindano haya.

    Jibu

    Pongez kwake

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.