Huenda mashabiki wa soka nchini Uingereza wanaweza kurejea tena viwanjani hivi karibuni, baada ya ombi la kupata saini nyingi kutoka kwenye Bunge la Uingereza ambalo limepanga kuijadili taarifa hiyo Novemba 9, mwaka huu.

Tangu Machi, Serikali ilipiga marufuku mashabiki kuingia viwanjani kutokana na ugonjwa wa Corona, hivyo hatua hiyo endapo itafikiwa ni nafuu kwa vilabu vingi ambavyo vinategemea zaidi mapato ya mlangoni kuendesha klabu zao.
Licha ya kuchezwa bila ya mashabiki, ligi hiyo imeendelea licha ya ukweli kuwa imepungua msisimko na ladha, ambapo mpaka sasa zimechezwa raundi nne.
Timu ya Everton inaongoza msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 12 wakishinda mechi zote nne walizoshuka dimbani.
Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua.



Caroline
Raha sanaaaa
Tahiya
Hatimaye mashabiki wamerudi safi sana
zeiyana
hii ni vizuri sana hitawapa hamasa wachezaji wakiwa uwanjani
magdalena
afadhali maana nilikuwa nawaza soka bila ya mashabiki ususani soka la uingereza ingekuwaje
Saupha mohamed
Daah afadhali sasa
Fatina mfigi
Duuh asanteh mungu kwa hili
Mwajumah
Hakika ni habari njema sana
Adelta
Good news 👍
Antony Luseno
Hi itakuwa ni atua nzuri mno maana raha ya mpira watu wawepo uwanjani
Lydia Emmanuel Magoti
Hiiniabari nzuri kwa mashabiki kurusiwa kuingia uwanjani nijambo zuri Raha ya mpira kuwangalia uwanjani
Ernest
Kwa hali ilivyo kwa nchi za wenzetu ni kurudisha mashabiki uwanjani ni risk kubwa sana kuongeza mlipuko wa Corona
felister
mmmh isije hatarisha maisha ya mashabiki
Janeflora malisa
Inapendez sana
Tatu
Ni habari nzuri kwa mashabiki wa mpira
Hopemwaikuka
Saf kwa hili efl
Dorophina
Hili ni Jambo jema sana wamefanya Epl mpira radha yake mashabiki
Gabriel
Safi sana 👍
Povel
Kwa hali ya nchi za wenzetu kurejea mashabik viwanjan itachukuwah muda Sana kurudisha mashabik viwanjani
Sabrina
Inapendeza sana
Issa
Itavutia sana uingereza
Elika
Na hilo ndo tulilolisubir kwa hamu sana
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa meridianbet
aisha
Imekaa powa sana
warda
imekaa poa sana