Tetesi zinasema Chelsea walikuwa tayari kumlipa mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi, 33, mshahara wa £1m kwa wiki kwa uhamisho wenye thamani ya £225m mwaka 2014.
Juventus wanapanga uhamisho wa £360m kumnasa mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe, 21, klabu hiyo ya Serie A inaweza kumpeleka Cristiano Ronaldo upande wa pili.

Klabu ya Ujerumani ya Borussia Dortmund haina mpango wa kumuuza winga wa England Jadon Sancho, 21, katika dirisha dogo la usajili la January, ambaye alihusishwa na Manchester United katika majira ya joto.
Cardiff City imekubali kumsajili winga wa Liverpool Harry Wilson kwa mkopo, huku vilabu vya Derby County na Nottingham Forest vikimwania mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23.
Tetesi zinasema Arsenal inataka kuipiku Manchester United katika kumsajili mlinzi wa Villarreal, Pau Torres, 23, kwa kitita cha £35m mwezi January.

Tetesi zinzsema Middlesbrough inajaribu kukamilisha usajili wa winga Yannick Bolasie, 31, kwa mkopo kutoka Everton.
Tetesi zinasemaKlabu ya daraja la Kwanza England Swansea City inataka £18m kutoka Tottenham kwa ajili ya beki wake wa kati raia wa Wales Joe Rodon, 22.
Kuingo wa Manchester United Bruno Fernandes, 26, amekataa kumnyooshea kidole Ole Gunnar Solskjaer na wachezaji wenzake baada ya kipigo cha 6-1 kutoka kwa Tottenham kabla ya mapumziko ya kupisha mechi za kimataifa.

Mmiliki wa Derby County Mel Morris anasema meneja Phillip Cocu hatafukuzwa kama timu hiyo itafungwa ijumaa hii dhidi ya Watford, na kukataa pia taarifa kwamba mshambuliaji wa zamani wa England Wayne Rooney, 34, atambadili mdachi huyo.
Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua.



zeiyana
manchester united waangalie upange mwengine wasahau kuipata sain ya sancho ukingalia dortmund wanamuangalia sancho kama mchezaji wao tegemengi pale clabuni na sio laisi kumuuza
Adelta
Mhmh sio poa leo Chelsea wanataka Messi!!
Sauda
Cardiff wakimpaga Harry itakuwa poa sana.
Tahiya
Asante kwa taarifa
Caroline
Asante kwa taarifa
magdalena
chelsea sizani kama walikuwa na mkwanja wa kutosha juu ya kuwania saini ya messi
Saupha mohamed
Good news
Mwajumah
Asante kwa makala
Fatina mfigi
Duuh
Antony Luseno
Kutokana na safu ya ulinzi Man united kuwa mbovu Torres pau ilibidi asajiliwe ili kuimarisha ulinzi
Lydia Emmanuel Magoti
Chelsea wajipange vinginevyo watamsikia Messi kwenye bomba
Ernest
Updates zimetulia, Ila Mbappe kwa Sasa hawezi kwenda Juventus labda Madrid kwanza
felister
ahsante kwa taarifa
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif
Tatu
Chelsea sijui kama atampata mess
Dorophina
Chelsea wanajisumbua Messi hawezi kuama barca
Hopemwaikuka
Chelsea walikosa mtu
Gabriel
Imekaa poa sana 👍
Povel
Nice update
Sabrina
Itakua Poa sana mbappe akitua juve
Issa
United ijipange
Elika
Safi sana
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa meridianbet
aisha
Chelsea mjipange sana