Ukiachana na matokeo mazuri waliyoyapata katika mechi mbili zilizopita, Meneja wa Arsenal, Mikel Arteta anasema bado malengo yake hayata badilika katika dirisha la usajili.
Ubora waliouonyesha vijana kama Bukayo Saka na matokeo yaliyopatikana katika mechi mbili zilizopita hazitabadili chochote.

Arsenal hawakupata ushindi katika mechi saba wakiwa katika nafasi ya 15 katika jedwali wakati wa Christmas lakini kutoka hapo wamefanikiwa kumfunga Chelsea na Brighton and Hove Albion.
Ushindi wa 1-0 dhidi ya Brighton, kwa bao lililofungwa na Alexander Lacazette sekunde 29 akitokea benchi hapo jana uliwapa alama tatu za muhimu.
“Hapana, matokeo ya mechi hizi mbili hayabadili mipango yetu kuelekea dirisha la usajili.” alijibu Arteta alipoulizwa kama matokeo hayo yanamaana yoyote kuelekea dirisha la usajili la mwezi januari.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?



warda
Arteta nae anaanza kutamba
Tatu
Mwaka wa Arteta huu
Fatina mfingi
Haya sisi tunasubir Mambo mazuri
Chiku
Tunangoja tuone
Mwanahamisi
Tunasubili tuone
Sarah
Arteta mwaka wao
Rahmal
Yetu macho tunasubilia tuone
Caroline
Pole Arteta
Hopemwaikuka
Jishaue tu
Angelina
Arsenal msimu huu wako vizuri sana
Saupha mohamed
Arsenal jeahi
Dorophina
Tunasubilia arteta tuone maneno yake
Shakila mrope
Mhh mwacheni atambe wakati ni wake
David Pere
Arsenal hawakupata ushindi katika mechi saba wakiwa katika nafasi ya 15 katika jedwali wakati wa Christmas lakini kutoka hapo wamefanikiwa kumfunga Chelsea na Brighton and Hove Albion
Khadija
Arteta nae mwaka wake huu
Zahara omary
Arteta msimu huu ukovizur
Lydia Emmanuel Magoti
Yangu macho ngoja tuone
Sania
Ngoja tuone matokeo
Adelta
Haya ngoja tusubiri tuone
Sabrina
Arteta anamipango ya kuiweka arsenal vizur