Kocha Mkuu wa Biashara United, Francis Baraza amesema jumla ya wachezaji 12 wa kikosi cha kwanza ambao walipewa mapumziko hivi karibuni, hawajaripoti kambini mpaka sasa.

Baraza amesema: “Baada ya mapumziko kumalizikia, wachezaji wangu wa kikosi cha kwanza ambao idadi yao ni 12 hawajarejea mazoezini mpaka sasa na kiukweli nashindwa kuelewa ni sababu gani imepelekea hawajarudi kambini.
“Nitakachokifanya nitatumia wachezaji wapya ambao tumewasajili pamoja na vijana wa timu ya vijana katika ligi kwa kuwa kama kocha sina namna tena, naweza kusema wachezaji wengi wa Kitanzania hawajitambui kwa kuwa kitendo kilichofanywa na wachezaji hawa kwa mchezaji anayejitambua hawezi kufanya hivyo.” aliongeza Baraza.
Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.



Issa
Ndio kweli
Sania
Duh hao wachezaji wana tatizo gani tena
Magdalena
Tatizo la wachezaji wa Tanzania hawachukulii mpira Kama sehemu ya ajira katika maisha yao
Sarah
Duuh ila nikweli
Adelta
Kweli kabisaa
Neema juma
Wa Tanzania mnatuangushaaa aisee
Dorophina
Ndiomaana timu zetu nyingi zinafeli
Caroline
Asante kwa taarifa.
Hopemwaikuka
Duh
Sylvester
Nakubaliana na Baraza kwani kambi ikivunjwa na mkapewa tarehe ya kurudi kambini wachezaji lazima mrudi kwa muda muafaka
Lydia Emmanuel Magoti
Ni kweli kabisa
warda
Kweli hawajitambui