Klabu ya Rangers ya nchini Scotland imesema uongozi na wachezaji wa klabu hiyo hawata post chochote katika mitandao ya kijamii kwa kipindi cha wiki moja.
Rangers itakuwa klabu ya kwanza nchini Scotland kususia mitandao yote ya kijamii kupinga ubaguzi unaondelea mitandaoni.
Mgomo huo utahusisha wachezaji wote na uongozi wa klabu hiyo katika mitandao yote ya kijamii kwa wiki nzima kuanzia alhamisi saa moja jioni kwa saa za huko.

Rangers wamepokea malalamiko kwa wachezaji wao wote weusi kubaguliwa katika mitandao ya kijamii msimu huu alisema kapteni James tavarnier.
Taarifa ya klabu ilisomeka: “Rangers wanaweza kuthibitisha kuwa kufikia saa 7 jioni jioni hii, wachezaji wetu na usimamizi watashiriki katika kususia kwa wiki nzima vituo vyote vya mitandao ya kijamii.
“Hii ni kusisitiza wasiwasi unaoendelea juu ya ukosefu wa kuwajibika na uwajibikaji kutoka kwa vyombo vya habari vya kijamii.”
INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.
Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.



Adelta
Ni maamuzi yao wenyewe
Hopemwaikuka
Sawaa
warda
Watakua wamefanya jambo zuri sana