Bodi Ya Ligi Kufuatilia Mechi Zote Bongo

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania Bw. Almas Kasongo, amesema kuwa macho yao yote ni kwenye mechi zote ambazo zitachezwa na kuwataka mashabiki pamoja na timu kuzingatia kanuni.

Hivi karibuni kumekuwa na matukio yasiyo ya kinidhamu ambapo mashabiki wamekuwa wakiwapiga waamuzi kwa machupa na wakati mwingine kuingia uwanjani jambo ambalo haliruhusiwi kikanuni.

Bodi ya Ligi

Suala hilo limekuwa likisababisha adhabu kwa timu husika pale inapobainika tatizo hilo.

Lala salama kumekuwa na matukio mengi ambayo yanahatarisha usalama kwa wachezaji pamoja na waamuzi jambo ambalo kwa sasa linafuatiliwa kwa ukaribu.

Bodi ya Ligi.

Kasongo amesema:”Mechi zote ambazo zimebaki tunazitolea macho na kuzitazama kwa ukaribu, lengo ni kuona kwamba kila kitu kinakwenda sawa na hakuna kinachoharibika.

“Mashabiki, wachezaji na timu kiujumla ni muhimu kuzingatia kanuni ambazo zipo kwani mpira unaendeshwa na kanuni ambazo zipo,”.


JILIPE KWA NAMBA ZAKO ZA BAHATI NA KENO

Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.

CHEZA HAPA

3 Komentara

    Ni Jambo jema kukiwa na mashabiki ktk mechi za hapa nyumbani

    Jibu

    Itapendeza sana

    Jibu

    Hawa nao wanataka pesa tu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.