Lionel Messi alisema kuwa Gerard Pique alimsaliti kwa kuingilia maongezi yake na raisi wa Barcelona Joan Laporta katika majira ya kiangazi.
Lionel alishapanga kusalia katika klabu ya Barcelona na alikua anajianda kupunguza kwa kiasi kikubwa malipo yake na kusalia kwenye klabu, kabla ya kuhamia kwenda Paris Saint-Germain, lakini Pique alimwambia Laporta kwamba hakuna chochote kibaya kitakachotokea ikwa atamruhusu Messi kuoandoka.

Mkurugenzi wa gazeti la michezo Lluis Mascaro, alikiambi kituo cha redio cha Noche; “Messi anajua kwamba Pique alimwambia Laporta kwama kama Messi akiondoka hakuna kitu kibaya kingetokea.”
Aliongezea, “sijui ni wapi na lini, lakini nina uhakika kuwa Pique atataka kusema upande wa pili wa hii habari.”
Lionel hivi karibuni alizungumza na kugusia maswala kadhaa ikiwemo kuhusu Laporta akihitaji na kuwa na matumaini kuwa mshambuliaji huyo kuwa angeweza chezea bure klabu ya Barcelona.
Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.


