Matumaini Mapya ya Pjanic Barcelona

Nyota wa Barcelona Miralem Pjanic anaripotiwa kuwa kwa sasa ana matumaini ya mwanzo mpya baada ya kuwasili kwa Xavi kama meneja mpya Barcelona.

Pjanic alijikuta analazimika kuondoka kwa mkopo kwenda Besiktas, ambako yupo sasa akianza msimu wake vyema baada ya changamoto za majeraha siku za hivi karibuni.

Nyota huyu mwenye miaka 31 aliwasili Barcelona mwaka 2020, ikiwa ni sehemu ya dili la kubadilishana wachezaji lililomuhusisha Arthur Melo pia.

Matumaini Mapya ya Pjanic Barcelona

Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Pjanic sasa ana matumaini mapya juu ya hatma yake na klabu ya Barcelona.

Pjanicni moja ya watu wanaomkubali zaidi Xavi, na anaamini atapata nafasu ya kumshawishi meneja huyu baada ya kumalizana na dili lake la mkopo huko Besiktas.

Xavi kwa upande wake ameshawaahidi wachezaji kuwa yey vigezo vyake vitakuwa ni ubora pekee, na hakuna jambo jingine. Ikiwa staa huyu atapata nafasi ya kumshawishi basi huenda akapewa nafasi ya kuthaminiwa zaidi Barca.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.