Patrice Evra - Pole Ole , Ukifanya Vibaya Watu Usahau Mazuri

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Patrice Evra ambae pia ni mchezaji mwandamizi wa Klabu hiyo aliyewahi kucheza pamoja na Christiano Ronaldo pamoja na Ole amemshukuru Ole Gunnar Solskjaer kwa kazi yake na amewapa kitisho wachezaji wa Manchester United akisema “ninakuja nyuma yenu”
Patrice Evra
Patrice Evra

Evra ameandika katika mtandao wa instagram ”
” Asante rafiki yangu kwa kutufanya tuiamini tena Manchester United. Kwa bahati mbaya usipopata matokeo watu husahau mazuri uliyoyafanya. Kwa wachezaji wote wa Manchester United ninakuja, tuonane katika mechi na Arsenal “. Evra alikuwa mchezaji mwenzake na Solskjaer wakati wa msimu wa mwisho wa Ole akichezea Manchester United. Wote kwa pamoja walikuwa chini ya Sir Alex Ferguson.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.