Siku zinaendelea kuyoyoma kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya. Kocha wa Man United, Ralf Rangnick, atafanya kila awezalo kwenye safu ya kiungo.
Kwa misimu kadhaa sasa, United imekuwa ikisajili wachezaji kwenye safu ya mashambulizi zaidi. Usajili usioendana na uhalisia wa kikosi, umeigharimu United kwa muda mrefu. Safu ya kiungo bado ni eneo dhaifu kwenye timu hiyo.
Katika kutatua tatizo sugu kwenye kikosi cha Manchester United, Rangnick anaripotiwa kuwekeza nguvu kwenye dirisha dogo la usajili. Baadhi ya wachezaji wanatajwa katika mchakato huu.

Boubacar Kamara, Amadou Haidara, Dani Olmo na Savic ni miongoni mwa wachezaji wanaohusishwa na United. Ni dhahiri, wachezaji wote hawa wanauwezo mkubwa kwenye safu ya kiungo na sio United pekee itakayokuwa inawatizama, kwa hakika, Januari 1, 2022 kunajambo litatokea.
Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.


