Willian, "Nilitaka Kuondoka Baada ya Miezi 3"

Kung’ara kwenye timu moja, haimaanishi utang’ara kwenye timu nyingine. Willian ni mfano mzuri katika hili. Maisha ya Chelsea na Arsenal ni tofauti sana.

Mchezaji huyu, raia wa Brazili, alijiunga na Arsenal akitokea Chelsea ambapo alikuwa ni miongoni mwa wachezaji nyota pale Stamford Bridge. Uwezo wa Willian pale darajani, ulikua tofauti sana na tulichokiona akiwa Emirate Stadium.

Willian

Unaijua sababu ya kiwango duni cha mchezaji huyu pale Emirate? Haya ndiyo aliyoyasema Willian wakati akizungumza na Rio Ferdinand kupitia programu ya FIVE podcast:

Sikua na furaha ndio maana sikucheza vizuri. Sitaki kuongelea sana lakini, sikua na furaha. Nilipofika nilikuwa ninafuraha, shauku, nilitaka kufanya makubwa, klabu mpya, wachezaji wapya na mipango mipya.

Baada ya miezi mitatu, nilimwambia wakala wangu, samahani ninataka kuondoka. Sitaki kuiongelea vibaya klabu (Arsenal) kwasababu ni klabu kubwa, inahistoria kubwa kwenye soka na wachezaji wakubwa wameshawahi kucheza pale, ni klabu kubwa lakini hatukuendana. Ni kweli, ulikuwa wakati mgumu sana kwangu kwenye maisha yangu ya soka.


UWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe