Steven Gerrard amemsifia mchezaji mwenzie wa zamani wa Liverpool Philippe Coutinho na kumtambua kama mchezaji maalumu lakini amepinga kuwa hakufanya nae mazungumzo ya kumsajiri.
Coutinho anajiandaa kuondoka kwenye klabu ya Barcelona ili kuweza kupunguza gharama za mishahara kwenye klabu ya Barcelona, Gerard alipoulizwa kuhusu Coutinho ambaye aliulizwa kutoka Liverpool kwa £142milion January 2018 Gerrard alisema.

“Ameshinda makombe mawili akiwa na Barcelona, ukienda kuangalia wasifu wake Wikipedia utaona namba alizofanikiwa kushinda popote alipokwenda, ameshinda michezo 63 akiwa na brazil, amecheza Barcelona na alikuwa mzuri zaidi alipokuwa Liverpool, ndio maana naelewa kwa nini anahusishwa na vilabu vingi.
“Nawaelewa kwa nini mashabiki wengi wanavyomsifu na kumponda kwenye nchi ambazo wanamzungumzia, sidhani kama unawepa pewa jina la ‘The Magician’ kama wewe sio mtu maalumu kwenye mpira.”

Steven Gerrard anajiandaa kukutana na klabu ya Manchester United kwenye mchezo wa FA Cup kwenye mzunguko wa tatu.
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.


