Guardiola, Tuchel na Mancini Nani Kocha Bora wa FIFA?

Kocha wa klabu ya Man City  Pep Guardiola ameungana na kocha wa Chelsea ambaye alimfunga kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya Thomas Tuchel kwenye tuzo za FIFA zilizotajwa leo .

Guardiola ambaye alishinda ubingwa wake wa tatu wa ligi kuu ya Uingereza akiwa na klabu ya Man City msimo uliopita ingawa alishindwa kufurukuta kwenye ligi ya mabingwa mbele ya Tuchel

guardiola

Listi ya makocha watatu haiwezi kukamilika pasipo kuwepo kwa kocha watimu ya taifa ya Italia Roberto Mancini, ambaye aliweza kuisaidia timu ya taifa ya Italia kuweza kuchukua ubingwa Ulaya.

Kula zitapigwa na mkocha wote wa timu za taifa, kapteini, baadhi ya waandishi wa habari za michezo na mashabiki kuweza kuchagua kwenye mtandao wa FIFA, na majibu yatatangazwa January 17 2022 makao makuu ya FIFA jijini Zurich kwa njia ya mtandao.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.