FA Cup: Michezo Iliyobaki Itaendelea Kama Ilivyopangwa

Vilabu vya Uingereza vinavyoshiriki michuano ya FA Cup itayochezwa wikiendi hii itaendelea kama kawaida licha ya mlipuko wa Uviko-19 unaonendelea 

Klabu 20 zinzazoshiri ligi kuu ya Uingereza FA zimeandikia barua kuwa sheria zinazotumika kwenye ligi kuu ya Uingereza hazitatumika katika michezo ya FA Cup, na hivyo basi itabidi wacheza hata kama watatumia wachezaji watoto kutoka kwenye timu za vijana.

FA wamepanga kutokuruhusu kuhairisha mchezo wowote wa mzunguko wa tatu, na kuchelewasha ratiba ya ligi ambayo imekuwa ngumu, vilabu vinavyoshiriki ligi kuu ya Uingereza wamekuwa wakitumia sheria zinazotumika kwenye EPL ili kuweza kuomba kuahirishwa kwa michezo yao.

Kwenye waraka iliotolewa na FA ulisomeka, “tunaamini hii njia itatusaidia kusaidia upatikanaji wa wachezaji kutokana na msongamano wa ratiba mwezi January na kulinda uwiano wa ukamilifu wa ligi na kuhakikisha ratiba inatimizwa.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.