Djokovic Kumaliza Wikiendi Akifungiwa Hotelini

Mchezaji namba moja duniani wa tennis Novak Djokovic atatumia wikiendi yote akiwa amefungiwa katika hotel jijini Melbourne huku mwanasheria wake akiwa anashughulikia kurudisha visa ambayo serikali ya Austaria iliyofutwa. 

Djokovic jana Jumatano alisubirishwa kwa masaa kadhaa kwenye uwanja wa ndege wa Melbourne baada ya maafisa wa uhamiaji kuwa na matatizo na Visa yake, huku maafisa wakidai kuwa hakuweza kuwasilisha ushahidi kuhusu matakwa ya Visa.

Djokovic

Mshindi huyo mara tisa alisafiri kwenda Australia baada ya kupata Visa maalum, ambayo haikumpasa kuweza kupata chanjo kutoka kwa waandaji wamichuano ya Australia Open pia mamlaka katika jimbo la Victoria ambalo liko jijini Melbourne.

Djokovic alikuwa anatarajia kupata kibali maalum ambacho kingetolewa na serikali ya australia ambacho kingemruhusu kushiriki michuano hiyo,  Djokovic anajianda kwenda kushindana kupata taji la 21 Grand Slam.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.