Rooney Aliwakataa Everton.

Wakati Everton wakiendelea kuhaha kutafuta kocha wa muda mrefu, Wayne Rooney amethibitisha kuikataa nafasi ya kwenda Goodison Park.

Everton wameachana na Rafa Benitez na sasa, timu ipo chini ya Duncan Ferguson kama muangalizi wa muda. Wakati huu huu, uongozi wa klabu hiyo unaendelea kumtafuta kocha wa muda mrefu atakayeiongoza timu hiyo.

Wakati mchakato ukiwa unaendelea, Wayne Rooney amethibitisha kupokea taarifa ya Everton kutaka kuzungumza nae kuhusu nafasi ya ukocha kwenye klabu hiyo. Wayne anasema alipata taarifa hizo kupitia kwa wakala wake.

Rooney

Hata hivyo, Wazza alikataa nafasi hiyo ya kuzungumza na Everton akimini kuwa, bado anakazi kubwa ya kufanya na waajiri wake wa sasa, Derby County na hivyo, haoni kama ni muda sasa kwake kuondoka klabuni hapo.

Anajiamini kuwa anauwezo wa kufundisha timu za EPL na endapo Everton au timu yeyote itamuhitaji kwa hapo baadae, hatosita kukaa nao mezani na kuzungumza lakini, huu sio wakati sahihi kwake.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.