Kwa mara ya kwanza, Newcastle United imemtambulisha Bruno Guimaraes kwa waandishi wa habari wiki hii.
Guimaraes amejiunga na Newcastle akitokea Lyon kwa dau la £35M akiwa ni miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa Januari mwaka huu.
Licha ya The Magpies kuwa kwenye nafasi ya 19 kwenye msimamo wa EPL, hakika wanahaha kujinasua kwenye nafasi za kushuka daraja msimu huu.

Pamoja na hali hiyo, Bruno anaimani kubwa na timu aliyochagua kujiunga nayo, licha ya kusakwa mda mrefu na Arsenal.
Hii ni klabu inayokwenda kuwa miongoni mwa vilabu vikubwa kwenye ulimwengu wa soka. Ni klabu yenye historia kubwa na utamaduni imara, sina mashaka na maamuzi yangu ya kuamua kujiunga na timu hii. Lengo kubwa kwa sasa ni kubaki kwenye EPL. Lakini, kwa misimu ijayo, lengo ni kuingia kwenye Ligi ya Mabingwa na kubeba kombe.
Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.


