Ralf Rangnick Sina Tatizo na Jesse Lingard

Kocha wa muda wa klabu ya Manchester United Ralf Rangnick ameweka wazi kuwa hana tatizo na mchezaji wake Jesse Lingard, baada ya kutofautiana maneno kuhusu kutojumuishwa kwenye kikosi Lingard wiki iliyopita kwenye mchezo wa FA Cup dhidi ya Middlesbrough.

Ralf Rangnick alisema kuwa Lingard alimuomba kupumzika baada ya kushindwa kufanikisha uhamisho wake wamkopo kwenye dirisha la Janaury, lakini mchezaji mwenyewe anasema kuwa klabu ilimtaka apumzike.

Ralf Rangnick leo amejaribu kuweka sawa kwenye kikao na waandishi wa habari kabla ya mchezo wake wa kesho jumanne dhidi ya Burney kwenye ligi kuu ya Uingereza.

Kuhusu Lingard, nina mahusiano nae mazuri tu, inabidi tuangalie mbele sasa hakukuwa na tatizo lolote kati yangu na Jesse, nina furaha kuwa naye kwenye kikosi changu na atakuwepo kwenye wachezji waliojumuhushwa kwenye kikosi.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

Acha ujumbe