Mkurugenzi mpya wa klabu ya Schalke Bernd Schröde alijiunga na klabu hiyo tarehe 1 January 2022 leo amefanya mkutano na waandishi wa habari huku akiwa pamoja na Christina Rühl-Hamers na Peter Knäbel akizungumzia malengo ya klabu.
Bernd Schröde awali alikuwa anafanya kazi kwenye klabu ya Bayer 04 Leverkusen, kama mkuruguenzi wa masoko wiki chache kabla ya kujiunga na klabu ya Schalke, Bernd Schröder ni kiongozi mwenye kariba ya kujiamini na alithibitisha hilo alipokuwa Bayer 04 Leverkusen, wakati akionge na wandishi alinukuliwa akisema.

“Tunafanya kazi kama timu hiyo ndio sehemu ya falsafa yangu kwenye uongozi, timu yangu iko vizur kwa sasa,tumekuwa na mazungumzo ya kina, ambapo kila mmoja ameeleza mtazamo wake.
“Lengo letu liko wazi kabisa, Schalke inabidi isonge mbele na kuonyesha njia, Schalke inabidi iwe na nguvu ya kufanya mambo yake yenyewe, Schalke inabidi iwe timu ya mpira yenye nguvu tena, inabidi tuifanye hii klabu kuwa na nguvu kwenye ukanda huu kwa ajiri ya watu wake na mashabiki.”
Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.


