Rais wa klabu ya Barcelona Joan Laporta amesema kwamba hajutii uamuzi wa kumruhusu Lionel Messi kuandoka klabuni hapo na kuhamia klabu ya Paris Saint Germain majira ya kiangazi yaliopita.
Messi ametumia miaka 20 akiwa na klabu ya Barcelona, baada ya Barcelona kupata matatizo ya kifedha vigezo vya mkataba mpya kushindwa kufikiana na kumuacha aondoke kama mchezaji huru.

Laporta alikubali kwamba kumuachia messi kuondoka yalikuwa uamuzi mgumu kuwai kufanya lakini alisema kuwa aliiweka klabu kwanza, “ulikuwa uamuzi mgumu kuufanya ,” joan laporta aliimbai BarcaTV kuondoka kwa messi.
“Sikutaka kufanya maamuzi, messi ni mchezaji bora wa kihistoria, lakini hilo lilikuwa jambo letu, milipaswa kufanya maamuzi makubwa kuhusu messi, lakini sijutii, hakuna mkubwa juu ya klabu. lakini swala la messi kiukweli lilituumiza, hakuna kingine kwenye hili.
“Lakini historia ya Barcelona inaendelea, na tunafanya kazi kwa juhudi na kusahihisha maamuzi tunaweza kurudi kwenye njia ya mafanikio, hicho ndicho tunachofanya.”
Messi amefunga mara mbili kwenye michezo 17 ya Ligue 1 kwenye klabu yake mpya.
Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000 katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.


