UEFA Yaipiga Faini Klabu ya Olympique Marseille

Shirikisho la mpira barani ulaya UEFA imeipiga faini klanu kutoka Ufaransa Olympique Marseille leo jumanne kwa uchochezi na vurugu  zilizofanywa na mashabiki wao kwa kuonyesha bango kwenye mchezo dhidi ya Qarabag

Klabu hiyo ilipigwa faini ya €20,000 kwa ajiri ya bango liliomyesha ujumbe wa kejeri ambao ulielezea uhuru wa wa mkoa huo ambao kwenye mirongo mitatu ulikuwa chini ya Armenia kabla ya mwaka 2020 kupata uhuru wake chini ya Azerbaijan.

UEFA iliwapiga faini nyingine ya 24,250 kwa sababu mashabikiwake walikuwa kwenye Corridor ambapo kulioaswa kuwa tupu ndani ya uwanja, vilivile matumizi ya milipuko ya moshi kwenye mchezo wa UEFA Europa Conference League dhidi ya Qarabag tarehe 17 february.

Olympique Marseille walifanikiwa kumfunga Qarabag 3-1  nyumbani kwake kwenye mzunguko wa kwanza wa Europa Conference League kwenye hatua za mtoano kwenye dimba la  Stade Velodrome, ma kufanikiwa kumuondoa kwa uwiano wa goli  6-1.


VUNA MKWANJA NA SHINDANO LA EVOPLAY SPRING AWEKING

Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000  katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.