EPL Wavunja Mkataba wa Matangazo na Mshirika wake Nchini Urusi

Ligi kuu ya Uingereza EPL imesimamisha hati miliki za kuonyeshwa kwa ligi hiyo nchini Urusi na mshirika wake ambaye anamiliki haki ya kuonyesha matangazo ili kupinga uvamizi uliofanya na nchi kwa nchi ya Ukraine.

EPL na vilabu vyake 20 walipiga kura kwa kauli majo siku ya jumanne kuvunja mkataba wa makubaliano, baada ya wikiendi hii ambapo michezo yote walionesha kuwasaidia Ukraine, kabla mpira kuanza walisima kwa dakika huku makapteni wote wakivaa vitambaa vyenye bendera ya Ukraine.

EPL
EPL

Pia walikubalina kila timu inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza kuchangia £1 million ili kusaidia kutoa msaada wa kibinadamu kwa wahanga wa machafuko hayo.

EPL walikosolewa na wabunge kwa kuchelewa kuchukua hatua za kujibu uvamizi wa Urusi kwa ukraine na kufuta haki ya matangazo na urusi, ambapo mkataba huo unathamani ya inayokariabia £6 million kwa mwaka, huku mkataba huo ukitarajiwa kuisha mwisho wa msimu huu.

Hii inakuja baada ya wikiendi iliyoisha nchini China kusitisha kuonyesha michezo yote ya EPL ili kuepuka kuonyesha kuwa hawakubaliani na klabu hizo ambazo zinaonyesha mshikamano pamoja na ukraine.


VUNA MKWANJA NA SHINDANO LA EVOPLAY SPRING AWEKING

Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000  katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

Acha ujumbe