Mamelodi Sundowns Yaendeleza Ubabe Wake Ligi ya Mabingwa

Klabu ya Mamelodi Sundowns imezidi kuendeleza ubabe wake kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa baada ya kumchapa Cotton Sport hapo jana kwa mabao 3-1 alipokuwa ugenini.

 

Mamelodi Sundowns Yaendeleza Ubabe Wake Ligi ya Mabingwa

Hivyo baada ya ushindi huo Mamelodi anafikisha pointi 6 kwa kushinda michezo yake yote miwili na kuongoza Kundi B.

Mabao hayo yote yalifungwa katika kipindi cha kwanza cha mchezo huku kipindi cha pili kikimalizika bila kufungana bao lolote.

Mamelodi Sundowns Yaendeleza Ubabe Wake Ligi ya Mabingwa

Wakati kwa upande mwingine Wababe wa Misri Al Ahly ambao nao wapo kundi hilo hilo watamenyana dhidi ya Al Hilal Omdurman ya Sudan ambao wao walipoteza mechi yao ya kwanza.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.