Ligi ya Mabingwa barani ulaya (UCL) ikiwa inaendelea leo Meridian USSD wakupa nafasi ya kushinda mkwanja tena ukiwa huna haja ya kua na intaneti wewe cha kufanya unaenda kwenye simu yako ya kitochi unabofya *149*10# halafu utaenda kupata mechi kibao za kubashiri na kujishindia mkwanja wa maana kupitia Meridian USSD.

bashiriKwenye ligi ya mabingwa ulaya leo kuna michezo kadhaa ambayo unaweza kubashiri kupitia kitochi chako Mechi kali kati ya Chelsea wakiwa nyumbani wanaikaribisha Ac Milan huku Chelsea wakiwa wanatafuta ushindi wao wa kwanza kwenye michuano hiyo Chelsea wamepewa odds 1.81 kushinda huku Ac Milan wakipewa 4.41.

Mchezo mwingine mkali ni kati ya Juventus wakiwa wamepoteza mechi zote za mwanzo watawakaribisha Maccabi Haifa kwenye dimba la Allianz huku Juventus wakipewa odds 1.32 huku Maccabi Haifa wakipewa 8.62, Mchezo mwingine mkali utapigwa pale Estadio Da Luz Benfica wakiwakaribisha PSG  vinara hawa wa kundi H wakiwa wana alama sita kwa pamoja Meridianbet wamekuwekea odds za kibabe Benfica wakiwa 3.77 huku PSG wakipewa 1.82.

Unaweza kuendelea kufurahia odds za kibabe na bonasi za kutosha kupitia Meridian USSD kwa kutumia simu yako ya kitochi bila intaneti unabonyeza *149*10# Ufurahie huduma za mabingwa na wakongwe wa michezo ya kubashiri wanaotoa machaguo zaidi ya 1000.

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa