Chelsea Yathibitisha Kumtoa kwa Mkopo Lukaku

lukaku

Klabu ya Chelsea imethibitisha kuwa mshambuliaji wao Romelu Lukaku amejiunga na Roma kwa mkopo. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Lukaku ataungana na kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho katika Ligi ya Serie A. Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Mshambuliaji huyo hakuwa kwenye mipango ya Mauricio Pochettino na amekuwa akifanya mazoezi kando na kikosi cha Chelsea msimu huu.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Msimu ulioisha alikuwa na Inter Milan kabla ya kwenda Juventus na kukataliwa na mashabiki wa timu hiyo wakipinga usajili wake na sasa anarejea Italia.

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Acha ujumbe