Formula 1 Miamba imeanguka huko Baku nchini Azerbaijan, kwenye Azerbaijan Grand Prix, Jana ikiwa race ya sita kukamilika

Mshindi ni SERGIO PEREZ wa Mexico ambaye anaweka historia yake kwa mara ya kwanza kwenye circuit ya Baku, baada ya kutoka kapa 2016 na 2018
Perez anapeleka ushindi kwenye Kampuni ya HONDA huku kabla ya mbio hizo Max Verstappen alipigiwa chapuo kubwa baada ya kuibuka kinara Jijini Monaco
Bahati mbaya jana haikuwa siku nzuri kwa Max baada ya tairi ya upande wa kushoto (mbele) kupasuka, huku Gwiji Lewis Hamilton akilazimika kuanza upya (restart) baada ya kuwa na leader mpya bwana Checo Perez
Perez alimaliza nafasi ya kwanza mbele ya Sebastian Vettel, huku Pierre Gasly nafasi ya tatu na Charles Lecrerc akishika nafasi ya nne
Hamilton ilitegemewa angejiuliza kwenye michuano hii baada ya kufanya vibaya Monaco ila bado Bundi anamnyemelea
Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.
Sergio yupo vizuri