Gwiji wa Chelsea Gianfranco Zola anasema Jorginho atakuwa ‘MTU’ kwa Mikel Arteta na kusisitiza kuwa yeye ni mchezaji ambaye hajifichi na unaweza kumtegemea. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Akizungumza na The Sun, Zola alisema: “Kama wewe ni timu inayotaka kupangwa, timu inayopita, basi Jorginho ndiye mtu. Siku zote yuko mahali pazuri kusaidia mabeki na viungo wengine wanapokuwa na mpira. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!
“Daima anapatikana wakati mpira unapokuwa moto. Huyu ni mchezaji ambaye hajifichi na unaweza kumtegemea kila wakati. Wachezaji wengi walio na presha hawataki mpira lakini Jorginho sio mmoja wao.

“Unapokuwa na mchezaji ambaye hajifichi unapohitaji kudhibiti mchezo kwa shinikizo, unamthamini sana. Labda nyakati fulani watu hawaoni hili.” -Zola kuhusu kusajiliwa Arsenal. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

