Baada ya kutangaza kumuacha rasmi mshambuliaji wao Karim Benzema ambaye anahusishwa kutimkia Saudi Arabia, Real Madrid wako tayari kujaribu uamuzi wa Tottenham kumbakisha Harry Kane. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.
Carlo Ancelotti amemfanya Kane kuwa shabaha yake kuu kuchukua nafasi ya Karim Benzema anayetimkia Saudi Arabia. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Spurs wamedhamiria kukataa ofa zozote za mfungaji aliyeweka rekodi ya klabu Kane kutoka kwa wapinzani wa Premier League msimu huu. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Chaguo la nahodha huyo wa Uingereza ni kusalia Uingereza na kuvunja rekodi ya mabao ya Alan Shearer katika Ligi Kuu ya Uingereza. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Kwa mujibu wa fabrizo Romano “Mkataba wa Benzema nchini Saudi Arabia utakuwa na thamani ya karibu €100m kwa msimu pamoja na mikataba ya kibiashara na faida.
Kane, ambaye mkataba wake unamalizika msimu ujao wa joto, anaaminika kuwa alisafiri kwenda Madrid mapema mwaka huu. Je atajiunga na miamba hiyo ya Hispania na kuvaa viatu vya Supa Ben.


