Namungo Watoa Kauli ya Kibabe

UONGOZI wa Namungo FC umeeleza ukimya unaoendelea kwao ni mchakato wa kukimbizana na dirisha dogo la usajili ili waweze kufanya jambo litakaloendelea kuwapa mashabiki wao furaha zaidi. Wakati timu nyingi zikijiandaa kusajili, wewe andaa jamvi lako tayari kisha bashiri mechi mbalimbali ukiwa na Meridianbet.

Timu hiyo kwa sasa inanolewa na aliyekuwa kocha wa viungo Shadrack Nsajigwa baada ya Denis Kitambi kupewa Thank You anatajwa kuibukia Geita Gold baada ya Hemed Morroco kubwaga manyanga.

namungo

Namlia Kindamba, amesema:-“Kocha Nsajigwa anaendelea na majukumu yake na anajua uwezo wa wachezaji wetu na kipi tunakihitaji kwenye ligi hivyo palipo na mapungufu yatafanyiwa kazi mashabiki wasiwaze muda bado upo wa sisi kufanya jambo,” alisema Kindamba.

Namungo FC inashika nafasi ya 8 ikiwa na alama 17 na tayari imeshacheza michezo 13 msimu wa ligi 2023/24. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Acha ujumbe